Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI WAPENZI WANACHOKANA HARAKA?-2

Kwanza niwashukuru wasomaji wangu wa safu hii walionitumia ujumbe mfupi wa maneno wakiipongeza mada hii.
Wiki iliyopita tuliishia kwenye kipengele cha pili cha Ujuzi faragha, leo tunaendelea na vipengele vilivyosalia, ungana nami. KUTOTIMIA KWA MATARAJIO
Wapo wanaoanzisha uhusiano wa kimapenzi na mtu wakitegemea kufaidika kwa kitu flani, kama vile mabadiliko ya maisha yao na kadhalika, hivyo inapokuwa tofauti, hujiondoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini watu wanaonyanyaswa hawawaachi wapenzi wao?

Simulizi ya masaibu ya mwanaume aliyenyanyaswa kingono na jinsi alivyojinasua.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwa nini virusi vya corona husambaa haraka miongoni mwa wanadamu

Virusi hivi hatari kwa jina SARS-CoV-2, tayari vimesambaa katika kila nchi duniani na vimeambukiza zaidi ya nusu milioni ya watu tangu vilipotambulika nchini China mwezi Disemba 2019.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji: Wanawake wanauwezekano mkubwa wa kuuliwa na wapenzi wao au waliokua wapenzi wao

Ripoti inasema kuwa asilimia 61 ya wanawake waliuawa na wanaume au waliuliwa na wapenzi wao wa sasa au wa zamani.

 

10 years ago

Vijimambo

Wakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki

"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin

 

10 years ago

GPL

MHESHIMIWA RAIS TUNAKUOMBEA KWA MUNGU UPONE HARAKA, TUKO NAWE KWA DUA NA SADAKA

Rais Jakaya Kikwete . Mheshimiwa rais, kwa niaba ya watu wa Oman tuishio Tanzania na wenzetu waliopo Oman, tunakuombea Mungu akujalie uweze kupona haraka ili urejee katika majukumu yako na kuendeleza nchi kwa ‘speed’ yako kali MANSHALAH.
Siku zote utakumbukwa kwa maendeleo uliyoifanyia nchi yetu ya Tanzania na ushirikiano mzuri na nchi zote duniani.
Tunakuombea upone haraka na upate furaha na kuweza kuyakamilisha...

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo kwa wapenzi wa jinsia moja UG

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameidhinisha sheria mpya ya wapenzi wa jinsia moja ambayo inatoa adhabu ya maisha jela kwa wenye hatia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Afueni kwa wapenzi wa jinsia moja Uganda

Mahakama ya kikatiba Uganda imefutilia mbali sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja

 

9 years ago

BBCSwahili

Miezi 6 jela kwa wapenzi wa jinsia moja

Watu 7 wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela nchini Senegal kwa kuenda kinyume na madili

 

9 years ago

GPL

MAMBO 12 WASIYOPENDA WANAUME KWA WAPENZI/ WAKE ZAO!

Assalam aleikum msomaji wangu, bila shaka unaendelea vema na maisha yako sambamba na maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu ambao zimebaki siku chache ili kumchagua yule unayeona anafaa kuliongoza taifa hili.Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye mada ya wiki hii ambayo inahusu mambo 12 wasiyoyapenda wanaume kwa wapenzi au wake zao.
Kujipamba kupitiliza Mwanamke kama mwanamke ni mapambo na ili awe mwanamke anao ulazima wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani