Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA PICHA ZENYE UBORA NI TEMBAPHOTO NDIYO HABARI YA MJINI


Ukiwa na shughuri yeyote inayohusu ukodak basi ni tembaphoto ndiyo suluhisho ya yote. Tembelea web site ya tembaphoto kujionea ubora wa picha.
http://tembaphoto.com/


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TEMBAPHOTO OFFICIAL PHOTOGRAPHER SIKU YA SHEREHE ZA CCM NEW YORK OMMY "DIMPOZ" NDIYO HABARI YA MJINI

 Ukumbi wa sherehe za CCM New York  tarehe 21 mwezi wa 2, Tembaphoto ndani ya mjengo kukuletea ukodak wa kiwango.

Ukiwa na shughuli yeyote inayohusu ukodak basi ni tembaphoto ndiyo suluhisho ya yote. Tembelea web site ya tembaphoto hili kujionea ubora wa picha.
http://tembaphoto.com/


 

10 years ago

Vijimambo

POLICE HUKO MIAMI PICHA ZENYE SURA ZA WEUSI NDIYO UJIFUNDISHIA KULENGA SHABAHA

Hizi ni moja ya hizo picha zinazotumiwa na police wa Miami kulengea shabaha unaweza kuona ni picha za vijana wadogo zikiwa zimeshatobolewa  na risasi usawa wa kichwa.NEW Members of the North Miami Beach Police have been caught using photos of actual black teenagers for target practice (top). This was discovered during an incident last month when Sgt. Valerie Deant showed up at the Medley Firearms Training Center after members of the department had been practicing, and recognized one of their...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.

Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi  kutoka nchi mbalimbali Duniani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZAIDI ZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZILIZOFANYIKA NEW YORK KUTOKA TEMBAPHOTO


 Tembaphoto akiwa na mama mwenye nyumba wake siku ya sherehe za miaka 38 za kuzaliwa kwa CCM. Sherehe zilifanyanyika New York na kuudhuliwa na Watanzania kutoka kila pande za Marekani. Na Mhe.Ridhiwani Jakaya ambae ni mbunge wa jimbo la Chalinze kupitia chama tawala CCM kuudhulia na kutoa hotuba kama mgeni rasmi wa sherehe hiyo. Hapa ni Miss Maundi katibu wa vijana wa CCM New York akipata ukodak juu ya zuria jekundu
 Mambo ya ukodak juu ya zuria jekundu picha kutoka Tembaphoto kwa picha zaidi...

 

11 years ago

GPL

GAZETI LA IJUMAA NDIYO HABARI YA MJINI !

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers wakiwa wanasoma gazeti la Ijumaa huku wakiwa wamevalia T-Shirt zinazolitangaza gazeti hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global wakiwa wamependeza ndani ya t-shirt zenye chata la Ijumaa.
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani…

 

10 years ago

Vijimambo

NDIYO HABARI YA MJINI SASA KIROHO SAFI

Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...

 

11 years ago

Vijimambo

KAMA ULIKUWA UJUHI HABARI NDIYO HII HUKO BONGO MJINI

 Shida ya foleni kati ya Airport na City Centre kuisha?? Cheki treni mpya hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 800-1000. Tutaiweza kweli?

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Nunueni bidhaa zenye ubora’

WATANZANIA wameshauriwa kununua bidhaa zenye ubora za Panasonic na kuachana na zingine zilizopo katika soko ambazo hazina ubora. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi  wa Masoko wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Onyesheni tiba asili zenye ubora’

WASHIRIKI katika maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yanayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 23 mwaka huu, wametakiwa kuonyesha bidhaa bora zitakazoleta ushindani katika soko la Tiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani