LAPF YAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA MANISPAA YA KINONDONI
Meneja Masoko Kanda ya Pwani, Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Manispaa ya Kinondoni. Vifaa vilivyotolewa na mfuko huo ni jezi seti 30, mipira 30 pamoja na viatu jozi 30. (Na Mpiga Picha Wetu)
Meneja Masoko Kanda ya Pwani, Yessaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 5 mjumbe wa bodi ya timu ya Manispaa ya Kinondoni, Abbas Tarimba. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLAPF YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO MANISPAA YA KINONDONI
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
GPLMAKONDA AZINDUA KINONDONI CUP JIJINI DAR, AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP
10 years ago
MichuziNMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA POLISI
Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nz-dnK-_PQg/VBBYiVySAMI/AAAAAAAGij4/8uLA2CwkA08/s72-c/001.KITS.jpg)
VODACOM YAMWAGA VIFAA VYA TIMU 14 ZA LIGI KUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-nz-dnK-_PQg/VBBYiVySAMI/AAAAAAAGij4/8uLA2CwkA08/s1600/001.KITS.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-fO6Iz-eeLxA/VBBYiZ_V20I/AAAAAAAGikA/S6qrilMwcrI/s1600/002.KITS.jpg)
10 years ago
Bongo510 Sep
Picha: Vodacom yamwaga vifaa vya timu 14 za ligi kuu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWwkcbiaf7n95HdChjZ5-u7aZbPiIhzWY5*6DUIN1Eg-l3rKHU6MWaqqXKJbDu26rOr9azJyiYP0jjCx80291GBu/001.KITS.jpg?width=650)
VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 14 ZA LIGI KUU KWA AJILI YA MSIMU WA 2014/2015
9 years ago
Dewji Blog20 Aug
Katibu wa Baseball Tanzania akabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya mchezo huo jijini Dar
Bw. Alferio Nchimbi Katibu wa Chama cha Mchezo wa Baseball na Softball Tanzania akikabidhi vifaa vya michezo kwa wachezaji wa timu ya mchezo huo ya Tanzania inayotarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Uganda kwa ajili kambi ya mafunzo ya Meja League Base Ball Training Camp For Tryout (MLB) yatakayofanyika kuanzia tarehe 23-25 Agosti 2015 ambapo wachezaji watakaochaguliwa kutoka katika kambi hiyo watakwenda nchini Afrika Kusini kwa kwa mafunzo ya wiki mbili na baadaye wachezaji...