Latin Amerika yateka Kombe la Dunia
Hadi sasa Kombe la Dunia 2014 ni moja ya fainali zenye mambo mengi ya kukumbukwa. Kumeshuhudiwa mabao mengi, matokeo mengi ya kushangaza na miamba miwili ya Ulaya, Hispania na England tayari wameaga mashindano hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
Historia ya kombe la dunia
Mihemko imeanza kushuhudiwa kabla ya kombe la dunia kuanza Brazil. Je unajua historia ya kombe hilo na baadhi ya wachezaji waliowakilisha Afrika?
11 years ago
Michuzi
kombe la dunia brazil?


11 years ago
GPL
11 years ago
Habarileo13 Jun
Makahaba kuneemeka Kombe la Dunia
MAKAHABA takribani milioni moja wanaoishi Brazil wanatarajiwa kupata mapato makubwa wakati wa Kombe la Dunia lililoanza Alhamisi nchini humo.
11 years ago
GPL
MISHAHARA YA MAKOCHA WA KOMBE LA DUNIA
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza , Fabio Capello ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil. Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza , Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa…
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Kombe la dunia katika Vatican ?
Papa Francis na Papa Benedict kushabikia fainali ya kombe la dunia ?
11 years ago
Mwananchi15 Jul
‘Igeni mbinu za Kombe la Dunia’
Kocha Mcroatia wa Simba, Zdravko Logarusic amesema fainali zilizomalizika za Kombe la Dunia zilikuwa na vitu vingi vya kujifunza kwa wachezaji wa Tanzania, hasa suala ya kujituma na nidhamu ya mchezo.
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Wadhamini wa kombe la Dunia taabani.
Hadhi ya makampuni yanayodhamini kombe la Dunia taabani Brazil kufuatia maandamano.
11 years ago
Mwananchi23 May
Suarez shakani Kombe la Dunia
>Luis Suarez huenda akakosa fainali za Kombe la Dunia baada ya kubainika kuwa anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa goti haraka kutokana na kuumia mazoezini juzi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania