Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kombe la dunia katika Vatican ?

Papa Francis na Papa Benedict kushabikia fainali ya kombe la dunia ?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Cuba yailaza Kenya katika kombe la dunia

Cuba ilifungua kampeini ya kombe la dunia la voliboli kwa kuizidi maarifa Kenya huko Japan

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwalimu Mkenya katika kombe la dunia Brazil

Aden Marwa ameteuliwa kuwa miongoni mwa marefa watakaochezesha michuano ya kombe la dunia Beazil

 

11 years ago

Michuzi

PATA VIKOSI VYA KILA TIMU KATIKA KOMBE LA DUNIA 2014







KUNDI A Brazil
Makipa: Julio Cesar (Toronto FC, Mkopo toka QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro). Mabeki: Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma), David Luiz (Chelsea), Thiago Silva (PSG), Dante (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid), Henrique (Napoli), Maxwell (PSG). Viungo: Oscar (Chelsea), Fernandinho (Man City), Willian (Chelsea), Paulinho (Spurs), Ramires (Chelsea), Luis Gustavo (Wolfsburg), Hernanes (Inter Milan). Mafowadi: Bernard (Shakhtar Donetsk),...

 

11 years ago

Michuzi

Ingizo jipya katika kombe la dunia Brazil: alama ya chaki ya kupulizia inayoyeyuka....

Alama ya chaki ya kupulizia (spray) ni moja ya ingizo jipya kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil. Tayari refa ameshaitumia mara ya kwanza kwenye mechi ya ufunguzi kati ya Brazil na Croatia usiku wa kuamkia leo, pale refa alipochora kwa kupulizia na kuweka alama wapi wachezaji wasimame wakati wa kupigwa mpira wa adhabu (pichani chini), ili kuthibiti zogo la wachezaji, ama wapi mpira uwekwe kabla ya kupigwa.  Chaki hiyo, ambayo huyeyuka baada ya dakika chache, ilianza kutumika...

 

11 years ago

Michuzi

Nike yaongoza mtanange wa makampuni ya vifaa vya michezo katika kombe la dunia Brazil

 Na Sultani Kipingo  wa Globu ya Jamii
Uwezo wa kifedha wa Nike unaipaisha kampuni hiyo katika vita vya Kombe la Dunia 2014 kwa kuiongoza kampuni ya Adidas kwa mabao 4 katika awamu ya makundi ya michuano hiyo huko Brazil.  Kampuni ya Nike ambayo ndio kubwa zaidi duniani kwa vifaa vya michezo imeonesha umwamba wake baada ya nyota inayowadhamini kufunga mabao 61 katika awamu hiyo ya makundi, huku Adidas ikifuatia kwa magoli 57.

 Lakini Adidas wanaweza kupata ahueni kwa kuwa na njumu bora,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ivory Coast kuwakosa Bony, Kalou na Toure katika mchezo wao wa kufuzu kombe la dunia Urusi 2018

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Wilfred BonyMchezaji wa Ivory Coast, Wilfred Bony

Na Rabi Hume

Timu ya Taifa ya Ivory Coast itakosa huduma ya wachezaji wake watatu muhimu katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia dhidi ya Liberia.

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Michael Dussuyer amewataja wachezaji hao kuwa ni Wilfred Bony, Solomon Kalou na Thomas Toure.

Kocha Dussuyer amesema tayari tayari ameita wachezaji wengine ambao watazipa nafasi zao ambao ni mshambuliaji Roger Assele na beki Arthur Baka ambao...

 

11 years ago

Michuzi

kombe la dunia laanza kwa brazil kuichapa croatia 3-1 katika mchezo unaolalamikiwa kuwa wenyeji wamebebwa na refa

Wenyeji Brazil  wameanza michuano ya Kombe la Dunia kwa ushindi finyu wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia usiku wa kuamkia leo  wa jijini Sao Paulo, na kuponea chupuchupu kutoka sare katoka mchezo ulioanza kwa mabingwa hao mara tano kujikuta nyuma kwa goli moja la kujifunga wenyewe mwanzoni mwa kipindi cha kwanza.  Nyota wa Brazil Neymar analalamikiwa kubebwa na refa Yuichi Nishimura kutoka Japana baada ya kuambulia kadi ya njano (badala ya nyekundu)  kwa kumpiga kwa makusudi kipepsi mlinzi...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,PINDA AWAANDALIA CHAKULA CHA MCHANA TIMU YA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU,WALIOTWAA KOMBE LA DUNIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014. Wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma...

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani