Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LEO NDIYO LEO VALENTINE’S DAY, DAR LIVE!

Makala: Andrew Carlos
HATIMAYE ila siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapendanao wote ‘Valentine’s Day’ imefika ambapo leo, Februari 14, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar kutafuka moshi wa burudani kutoka kwa wakali wa mapenzi, Christian Bella ‘Obama’ pamoja na Mfalme Mzee Yusuf. Mkali wa masauti, Christian Bella ‘Obama’. Good newz...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VALENTINE'S DAY: HAPATOSHI DAR LIVE LEO

Mfalme wa miondoko ya taarabu Bongo, Mzee Yusuf leo atakuwa ndani ya Dar Live kuwapa raha wapendanao. WAPENDANAO KUJIACHIA NA MZEE YUSUF HAKUNA haja ya kuhangaika leo katika sikukuu ya wapendanao, kiwanja ni kimoja tu, Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar. Mfalme wa miondoko ya taarabu Bongo, Mzee Yusuf atashusha shoo maalum kwa wapendanao katika ukumbi huo, hivyo burudani itachukua mkondo wake pamoja
na zawadi kibao...

 

10 years ago

GPL

LEO NDIYO LEO KRISMASI KUHAMIA DAR LIVE

Mkali wa Bongo fleva Bongo, Nasib Abdul 'Diamond'. Makala: Andrew Carlos
HATIMAYE imewadia! Kama ulikuwa ukijiuliza ni sehemu gani ya kutoka Sikukuu ya Krismasi ya leo basi ni ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar ambapo kampuni ya simu ya Vodacom kwa kushirikiana na kampuni ya vinywaji ya Cocacola na Red Bull watawashusha wakali ambao hawashikiki Bongo kutoa burudani mwanzo mwisho....

 

11 years ago

GPL

LEO NDIYO LEO DAR LIVE

Mkali wa maigizo na michezo ya watoto Profesa Calabash leo atakuwepo kuwapa raha watoto ndani ya Dar Live. UNAJIULIZA uende wapi kusherehekea Mwaka Mpya? Jibu ni ndani ya Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem ambapo leo (Januari Mosi, 2014) kutakuwa na burudani ya nguvu kwa wakubwa na watoto ikiwa ni mwendelezo wa shangwe za sikukuu zinazoendelea kudondoshwa ndani ya ukumbi huo wa kisasa.… ...

 

10 years ago

GPL

MASHABIKI WAKIWA RED CARPET USIKU WA VALENTINE, DAR LIVE LEO

Mashabiki mbalimbali waliojitokeza usiku wa leo ndani ya Dar Live kwa ajili ya shoo maalum ya Usiku wa…

 

11 years ago

Michuzi

RED CARPET YA VALENTINE'S DAY DAR LIVE

Hassan Moshi TX William Mfalme Mzee Yusuf
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani