Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Licha ya kusemwa kwa matumizi ya pound milioni 250, Louis van Gaal yupo katika mipango hii kwa sasa …

Kocha wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Louis van Gaal January 2 amerudi kwenye headlines na hii, japokuwa haikutegemewa na wengi, kuona kocha wa sasa  wa Man United ambaye amekuwa akiandikwa katika headlines za soka juu ya hatma yake ndani ya Man United. Moja kati ya vitu vinavyoshangaza wengi ni juu ya kocha huyo […]

The post Licha ya kusemwa kwa matumizi ya pound milioni 250, Louis van Gaal yupo katika mipango hii kwa sasa … appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal ….

Kila mpenda soka anasubiria kuona mwaka 2015 utamalizikaje kwa kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal kuendelea kuwa Man United, Kwani Van Gaal kwa sasa anahusishwa kufukuzwa kazi wakati wowote. Mengi yanachochea uvumi huo kuwa upo karibu kutimia, ukizingatia mtendaji mkuu wa Man United yupo kimya kwa muda mrefu bila kutoa kauli yoyote. Wazungu […]

The post Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal …. appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio kauli ya Louis van Gaal iliyomuondoa Chicharito katika klabu ya Man United …

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United anayekipiga katika klabu ya  Bayer Leverkusen ya Ujerumani kwa sasa Javier Hernandez Chicharito amefunguka kwa nini aliamua kuondoka Man United. Chicharito ambaye aliondoka Man United mwaka 2015 baada ya kucheza kwa mkopo wa muda mfupi ndani ya klabu ya Real Madrid. Kwa mara ya kwanza Chicharito ndio anatajwa sababu […]

The post Hii ndio kauli ya Louis van Gaal iliyomuondoa Chicharito katika klabu ya Man United … appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

Kocha mpya wa Man United Louis van Gaal aanza kazi kwa mikwara

Na Sultani KipingoKocha mpya wa Manchester United Louis van Gaal ameongea na wanahabari kwa mara ya kwanza leo, akisema kuwa klabu hicho cha Old Trafford ni kikubwa duniani isipokuwa inabidi wajipeleleze upya kufuatia kuboronga katika msimu uliopita.
"Msimu uliopita mmemaliza ligi mkiwa nafasi ya saba kwa hiyo nyie sio klabu kubwa duniani. Mnahitaji kujidhihirisha wenyewe, ingawa dunia nzima wanazungumzia Manchester United - hiyo ndio tofauti", alisema.
"Hii ni changamoto kubwa na ndio maana...

 

9 years ago

Bongo5

Paul Scholes: Nisingeweza kucheza Man United, kwa mfumo wa Louis van Gaal

scholes-615580Kiungo wa zamani wa Manchester United na England, Paul Scholes ameendelea kumtetea nahodha wa Manchester United Wayne Rooney na kudai kuwa ni vigumu kwa straika yeyote yule kufunga kwa mfumo na staili ya Van Gaal. Paul Scholes amesema amecheza na washambuliaji nguli duniani wakiwemo Rud Van Nisterlooy, Yorke na Teddy Sheringham lakini akasisitiza kuwa mfumo […]

 

9 years ago

MillardAyo

Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho …

Hizi ni stori au mkusanyiko wa mawazo ya waandishi wa habari wa Uingereza na wchambuzi wa masuala ya soka Uingereza, Jose Mourinho na Louis van Gaal ndio makocha ambao walikuwa wanahusishwa kwa kiasi kikubwa kupewa nafasi ya kufukuzwa kazi kutokana na mwenendo wa timu zao. Tayari Jose Mourinho kafukuzwa Chelsea ila hatujui Man United wataamua […]

The post Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho … appeared first on...

 

9 years ago

BBCSwahili

Louis van Gaal hana kisingizio

Bosi wa Manchester United Louis van Gaal amesema hana kisingizio chochote cha kwanini wametolewa kwenye UEFA Champions ligi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Louis van Gaal awapasha waandishi.

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal ambaye kwa sasa yuko katika hali mbaya ndani ya klabu hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Louis Van Gaal amwaga tambo

Meneja wa Manchester United Louis van Gaal baada ya Ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Southampton sasa atamba kuchukua ubingwa England.

 

11 years ago

GPL

LOUIS VAN GAAL KOCHA MPYA MANCHESTER UNITED

Kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal. KOCHA wa timu ya Taifa ya Uholanzi, Louis van Gaal ndiye kocha mpya wa Manchester United. Gaal ataiongoza timu hiyo kwa miaka mitatu baada ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Aliyekuwa kocha wa muda wa timu hiyo, Ryan Giggs ndiye atakuwa msaidizi wake. Klabu ya Manchester United imethibitisha taarifa hizi kupitia ukurasa wake wa Facebook hivi punde. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani