Lil Wayne: Birdiman anawatesa wasanii
NEY YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Dwayne Carter ‘Lil Wayne’, amemshambulia bosi wa kundi la Cash Money, Bryan Williams ‘Birdman’ ambaye ni kama baba yake mlezi.
Lil Wayne alilelewa na Birdman kuanzia alipokuwa na umri mdogo hadi alipopata mafanikio akiwa chini ya kundi la Cash Money na kisha kuanzisha kundi lake la Young Money.
Lakini wawili hao kwa sasa hawana uhusiano mzuri na kila mmoja anafanya kazi peke yake, kutokana na hali hiyo, Lil Wayne amefunguka na kusema kuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Sep
Music: Lil Durk Ft. Lil Wayne, Fetty Wap, & Jeremih – Like Me (Remix)
10 years ago
Bongo528 Aug
New Video: Lil Wayne — Krazy
9 years ago
Bongo505 Oct
Music: Lil Wayne — Pour Up
10 years ago
BBCSwahili10 May
Christina Milian na Lil Wayne,kunani?
9 years ago
Bongo528 Aug
Music: August Alsina Ft. Lil Wayne — Why I Do It
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Drake awakutanisha Lil Wayne na Birdman
MIAMI, MAREKANI
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Lil Wayne na Birdman, wamekutana kwa mara ya kwanza kwenye ‘party’ ya msanii mwenzao, Drake.
Wawili hao wana mgogoro tangu Agosti mwaka jana hivyo kuwafanya wavunjeukaribu wao, lakini mwanzoni mwa mwaka huu wawili hao wamejikuta wakikutana katika pati ya Drake ambayo aliiandaa kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya.
Pati hiyo ilifanyika mjini Miami kwenye Ukumbi wa E11, hata hivyo mashabiki wamebaki na maswali mengi kama wawili hao...