Lipumba aligawa Bunge
Maregesi Paul, Dodoma na Grace Shitundu, Dar
WABUNGE wa vyama vya upinzani jana waliungana kulilaani Jeshi la Polisi nchini kutokana na jinsi lilivyoshiriki kumpiga Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake jijini Dar es Salaam.
Wakichangia kauli ya Serikali iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kuhusu suala hilo, wabunge hao kwa nyakati tofauti walilaani tukio hilo huku wakitaka walioshiriki kwa namna yoyote, wachukuliwe...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Dk Magufuli: Waziri aligawa ovyo ranchi
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Profesa Lipumba avuruga Bunge
9 years ago
StarTV20 Nov
Prof. Lipumba ataja changamoto ya kulidhibiti Bunge
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Tanzania Bara Profesa Ibrahimu Lipumba amesema kitendo cha Rais John Magufuli kumteua Kassim Majaliwa Mbunge wa Luangwa kuwa Waziri Mkuu kimeonyesha kuwa hana mbia katika nafasi yake ya Urais.
Amesema Rais Magufuli ameonyesha wazi kuwa anahitaji kufanya kazi kwa ukaribu na mtu atakayefuata sheria na taratibu za nchi.
Akizungumza jijini Dar es salaam, Profesa Lipumba amesema, waziri mkuu ndiye kiongozi wa serikali bungeni hivyo Waziri Mkuu Kassim...