Dk Magufuli: Waziri aligawa ovyo ranchi
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameendelea kukosoa Serikali zilizopita, akisema ranchi 52 ziligawiwa ovyo na Waziri wa Maji na Mifugo wa Serikali ya Awamu ya Tatu na kuahidi kuzishughulikia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV05 Jan
Waziri Mwigulu aisimamisha bodi ya NARCO kwa Ubadhilifu Ranchi Ya Taifa
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ameisimamisha kazi Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa kutokana na kinachodaiwa kushindwa kusimamia majukumu yake yakiwepo ya manunuzi na usimamiaji wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kampuni hiyo iliyopo Ruvu Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.
Bodi hiyo inadaiwa kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 3 zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kimataifa ambayo yangetumia shilingi bilioni 10.7...
10 years ago
Mtanzania30 Jan
Lipumba aligawa Bunge
Maregesi Paul, Dodoma na Grace Shitundu, Dar
WABUNGE wa vyama vya upinzani jana waliungana kulilaani Jeshi la Polisi nchini kutokana na jinsi lilivyoshiriki kumpiga Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake jijini Dar es Salaam.
Wakichangia kauli ya Serikali iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe kuhusu suala hilo, wabunge hao kwa nyakati tofauti walilaani tukio hilo huku wakitaka walioshiriki kwa namna yoyote, wachukuliwe...
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Bunge latishwa na madudu Ranchi ya Ruvu
NA KHADIJA MUSSA
MSAJILI wa Hazina kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, wametakiwa kupitia upya ripoti ya ukaguzi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) na kuchukua uamuzi ndani ya wiki tatu.
Pia Bodi ya NARCO imeagizwa kufanya tathmini iwapo menejimenti ya NARCO na ya Ranchi ya Ruvu kama zinastahili kuendelea na kazi zao na kutoa majibu katika kipindi cha wiki tatu.
Msajili ya Hazina ametakiwa kutathmini na kubaini kama Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya...
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Ranchi ya Taifa Mkata kupewa wawekezaji
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Serikali yakiri kuwepo mgogoro ranchi ya Kalambo
SERIKALI imekiri kuwepo kwa mgogoro kati ya wananchi wa Kijiji cha Katapulo na ranchi ya Kalambo, mkoani Rukwa. Hata hivyo, imesema iko katika mchakato wa kuhakikisha inamaliza migogoro hiyo hata...
11 years ago
MichuziMh. Mkapa atembelea shule ya msingi Manyara Ranchi,Wilayani Monduli
Mzee Mkapa ni Makamu mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao yake mjini Washington Marekani.picha mbalimbali zinamuonesha waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais Mkapa kuzuru shule hiyo.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iODbUo3ZGQM/VSYiVbXqkpI/AAAAAAAHPsI/ssUKv2df7l0/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI
![](http://2.bp.blogspot.com/-iODbUo3ZGQM/VSYiVbXqkpI/AAAAAAAHPsI/ssUKv2df7l0/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-2eGh_mz7mUQ/VSYiVwtNODI/AAAAAAAHPsM/h9Z_zaW6zho/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-pg-3rZmzaiU/VSYiWmmKT5I/AAAAAAAHPsU/95XBUg5ES2M/s1600/unnamed%2B(14).jpg)
11 years ago
Mwananchi15 May
Biashara zisifanywe ovyo barabarani
10 years ago
Habarileo19 May
‘Walimu jiepusheni na mambo ya ovyo’
NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa amewataka walimu nchini kujiepusha na mambo yanayochangia kukiuka misingi ya haki za binadamu na maadili mema.