Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mwigulu aisimamisha bodi ya NARCO kwa Ubadhilifu Ranchi Ya Taifa

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ameisimamisha kazi Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa kutokana na kinachodaiwa kushindwa kusimamia majukumu yake yakiwepo ya manunuzi na usimamiaji wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kampuni hiyo iliyopo Ruvu Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.

Bodi hiyo inadaiwa kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 3 zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kimataifa ambayo yangetumia shilingi bilioni 10.7...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ranchi ya Taifa Mkata kupewa wawekezaji

Wizara ya Mifugo na Uvuvi inakusudia kutoa kwa wawekezaji kutoka Marekani, eneo la Ranchi ya Taifa ya Mkata lililopo wilayani Kilosa.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli: Waziri aligawa ovyo ranchi

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameendelea kukosoa Serikali zilizopita, akisema ranchi 52 ziligawiwa ovyo na Waziri wa Maji na Mifugo wa Serikali ya Awamu ya Tatu na kuahidi kuzishughulikia.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MAJALIWA ATAKA MAELEZO JUU YA UBADHILIFU WA MALI ZA UMMA HALMASHAURI YA KIGOMA UJIJI

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemtaka Mkurugenzi wa manispaa ya Kigoma Ujiji, Mhandisi na Mhasibu kupeleka taarifa ya maandishi kwa katibu tawala wa mkoa juu ubadhirifu waliofanya wa mali za umma.
Hayo ameyasema leo wakati akiongea na watumishi wa Wilaya zote kwenye kikao cha majumuisho ya ziara yake kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF .
Alisema kuwa katika halmashauri ya Kigoma Ujijikuna ubadhirifu wa malu za umma umefanyika wa kuuza soki la...

 

9 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ALIPUA UKAWA KWA KUNUKUU MANENO YA BABA WA TAIFA

Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano nje kidogo na Mji wa Babati hii leo alipofika kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa kuinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2015.Pia kuwanadi wagombea Udiwani na Ubunge kwa Babati Mjini.Kutoka Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Manyara Ndg.Ndekubali,Katikani ni Mwigulu Nchemba na Mwisho kulia ni Mh.Chambili ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Babati Mjini.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Babati hii leo,Katika hotuba yake amesisitiza Wananchi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwigulu Nchemba awashukia wapinzani wanaotumia hotuba za Baba wa Taifa kwa mtaji wa kisiasa

nchMwigulu Nchemba akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Nkungi, wilayani Mkalama (Picha ya Maktaba yetu)

Naibu Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba, amewataka Viongozi/ watu wanaojifanya mabingwa wa kutumia baadhi ya hotuba za hayati Mwalimu Julius Nyerere kujinufaisha kisiasa, watumie pia hotuba za hayati Nyerere zenye mwelekeo wa kuwakosoa,ili waweze kuthibitisha ubingwa wao.   Amedai mabingwa hao wakiweza kutoa ufafanuzi hata kwa hotuba zinazowakwaza,kwa njia hiyo, watakuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa

1 - NW E Malecela

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya  Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Cosmas Mwaisobwa (kulia) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majuku ya Bodi kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela leo (Jumatano, Aprili 22, 2015) jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri alifanya ziara ya kikazi katika Bodi hiyo na kukutana na uongozi wa Bodi.

2 NW E Malecela

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela (wa pili kulia)...

 

10 years ago

Vijimambo

Naibu Waziri Malecela aitaka Bodi ya Mikopo kutoa elimu zaidi kwa wadaiwa

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Cosmas Mwaisobwa (kulia) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majuku ya Bodi kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela leo (Jumatano, Aprili 22, 2015) jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri alifanya ziara ya kikazi katika Bodi hiyo na kukutana na uongozi wa BodiNaibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela (wa pili kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani