Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge latishwa na madudu Ranchi ya Ruvu


NA KHADIJA MUSSA
MSAJILI wa Hazina kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, wametakiwa kupitia upya ripoti ya ukaguzi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) na kuchukua uamuzi ndani ya wiki tatu.
Pia Bodi ya NARCO imeagizwa kufanya tathmini iwapo menejimenti ya NARCO na ya Ranchi ya Ruvu kama zinastahili kuendelea na kazi zao na kutoa majibu katika kipindi cha wiki tatu.
Msajili ya Hazina ametakiwa kutathmini na kubaini kama Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Madudu yatikisa Bunge la Kumi

Bunge la 10 likielekea ukingoni baada ya kupitisha Bajeti ya Serikali leo, mambo matatu mazito yametajwa kama ‘madudu’ yaliyoleta mtikisiko na kuonekana kama ishara ya kuisimamia Serikali na kusababisha baadhi ya mawaziri kupoteza nafasi zao.

 

11 years ago

Habarileo

Upanuzi mitambo Ruvu Juu, Ruvu Chini waenda kasi

UHABA wa maji kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa mingine inayohudumiwa na mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini unatajwa utakuwa historia kutokana na Serikali kuanza upanuzi wa mitambo hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: EAMCEF, JKT Ruvu wadhamiria kutunza Mto Ruvu

MAZINGIRA ni suala mtambuka, kila mtu kwa nafasi yake anatakiwa kuwajibika kuhakikisha dunia inakua mahali salama pa kuishi. Uwajibikaji wetu licha ya kutunza mazingira, naamini utaongeza pia siku za kuishi...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya DAWASA yatembele Mirani ya Maji Ruvu chini na Ruvu juu leo

Bodi ya Wakurugeni ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) leo Agosti 20,2014 imefanya ziara ya kutembelea Miradi yao ya Maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini ili kujionea maendeleo ya ukarabati wa Miradi hiyo miwili ambayo ilikuwa katika ukarabati.Katika ziara hiyo Bodi hiyo ya DAWASA imeridhishwa na upanuzi wa Mtambo wa Maji wa Ruvu chini ambao kwa sasa umekamilika kabisa huku ukiwa na uhakika wa kutoa maji ujazo wa Lita Milioni 270 kwa siku.Meneja Miradi wa Kampuni ya Megha...

 

11 years ago

Mwananchi

Ranchi ya Taifa Mkata kupewa wawekezaji

Wizara ya Mifugo na Uvuvi inakusudia kutoa kwa wawekezaji kutoka Marekani, eneo la Ranchi ya Taifa ya Mkata lililopo wilayani Kilosa.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli: Waziri aligawa ovyo ranchi

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameendelea kukosoa Serikali zilizopita, akisema ranchi 52 ziligawiwa ovyo na Waziri wa Maji na Mifugo wa Serikali ya Awamu ya Tatu na kuahidi kuzishughulikia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakiri kuwepo mgogoro ranchi ya Kalambo

SERIKALI imekiri kuwepo kwa mgogoro kati ya wananchi wa Kijiji cha Katapulo na ranchi ya Kalambo, mkoani Rukwa. Hata hivyo, imesema iko katika mchakato wa kuhakikisha inamaliza migogoro hiyo hata...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Mkapa atembelea shule ya msingi Manyara Ranchi,Wilayani Monduli

Rais mstaafu wa awamu wa tatu Mh Benjamin Mkapa leo(jumatatu) amefanya ziara kumtembelea Shule ya msingi ya Manyara Ranchi inayofadhiliwa na shirika la kimataifa la uhifadhi wa wanyamapori la African wildlife foundation wilayani Monduli.
Mzee Mkapa ni Makamu mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao yake mjini Washington Marekani.picha mbalimbali zinamuonesha waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais Mkapa kuzuru shule hiyo. Rais mstaafu wa awamu wa...

 

9 years ago

StarTV

Waziri Mwigulu aisimamisha bodi ya NARCO kwa Ubadhilifu Ranchi Ya Taifa

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ameisimamisha kazi Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa kutokana na kinachodaiwa kushindwa kusimamia majukumu yake yakiwepo ya manunuzi na usimamiaji wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kampuni hiyo iliyopo Ruvu Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.

Bodi hiyo inadaiwa kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 3 zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kimataifa ambayo yangetumia shilingi bilioni 10.7...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani