Biashara zisifanywe ovyo barabarani
Watanzania tumekuwa wepesi mno kulalamika na kutaka maendeleo wakati huohuo tunashiriki kwa kiasi kikubwa katika kukwamisha juhudi hizo za maendeleo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi17 Jun
SUMATRA YAWATAKA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KUKAMATA MABASI YANAYOSIMAMA KUCHIMBA DAWA OVYO PORINI
..................................................... ASKARI wa usalama barabarani nchini wamepewa rungu la kuwakamata madereva wa mabasi ya abiria na magari mengine ambayo yatapatikana...
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU
Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...
10 years ago
Habarileo19 May
‘Walimu jiepusheni na mambo ya ovyo’
NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa amewataka walimu nchini kujiepusha na mambo yanayochangia kukiuka misingi ya haki za binadamu na maadili mema.
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Dk Magufuli: Waziri aligawa ovyo ranchi
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli ameendelea kukosoa Serikali zilizopita, akisema ranchi 52 ziligawiwa ovyo na Waziri wa Maji na Mifugo wa Serikali ya Awamu ya Tatu na kuahidi kuzishughulikia.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Kim Kardashian akiri kujikojolea ovyo
Kim Kardashian West amekiri kwamba licha ya kuvaa nguo zinazowavutia wengi ulimwenguni yeye hujikojolea mara kwa mara
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Matumizi ovyo ya umeme yaumiza viwanda nchini
Viwanda vilivyopo nchini vinaweza kuongeza tija katika uzalishaji na kupata faida kubwa ikiwa vitapunguza matumizi ya nishati ya umeme, imeelezwa.
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Ukuta kuadhibu waendao haja ndogo ovyo
Manispaa moja jijini London imeanza kutekeleza mbinu mpya ya kukabiliana na waendao haja ndogo ovyo ovyo kwa kuweka rangi yenye uwezo wa kurushia anayekojoa mkojo wake kwenye kuta.
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Tabia za ovyo za wazazi zinaathiri makuzi ya watoto
Upo msemo wa Kiswahili usemao; mtoto wa nyoka ni nyoka au mwana wa muhunzi asipo sana, hufukuta. Huu ni ukweli usiopingika kwa kutazama jinsi tabia nzuri au mbaya za mzazi zinavyoweza kuathiri makuzi ya mtoto.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania