Tabia za ovyo za wazazi zinaathiri makuzi ya watoto
Upo msemo wa Kiswahili usemao; mtoto wa nyoka ni nyoka au mwana wa muhunzi asipo sana, hufukuta. Huu ni ukweli usiopingika kwa kutazama jinsi tabia nzuri au mbaya za mzazi zinavyoweza kuathiri makuzi ya mtoto.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi19 Jan
UFAHAMU MTANDAO WA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO TANZANIA (TECDEN)
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/unnamed152.jpg)
Mtandao huu ulianzishwa mwaka 2000 na kusajiliwa rasmi mwaka 2004. Makao makuu ya Mtandao huu yapo Jijini Dar es salaam.
Hadi kufikia mwaka 2014 Mtandao huu una jumla ya mashirika wanachama wasiopungua 200 katika mikoa 14 ya Tanzania bara na Visiwani yanayotoa huduma kwa...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/unnamed152.jpg?width=650)
UFAHAMU MTANDAO WA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO TANZANIA (TECDEN)
11 years ago
Dewji Blog15 May
Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la Usonji watakiwa kuwapenda watoto hao
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo
Wazazi wenye watoto ambao wanatatizo la usonji (Autism) nchini wametakiwa kuwapenda, kuwatunza na kuwapa mahitaji yao kama watoto wengine kwani ni makusudi na mapenzi ya Mwenyezi Mungu kuwapa watoto hao.
Mwito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea na walimu, walezi na wazazi wa watoto hao katika Shule ya Msingi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CQg7YXs4p5M/XmakE3wgLYI/AAAAAAALiUU/364dhzDVSjwS8uiwC9NSK4W8pZ1oswRHwCLcBGAsYHQ/s72-c/8ea7cdd1-676b-47ad-acd1-521826eaa55f.jpg)
WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI
Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya
Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Kukabiliana na tabia ya kung’ata kwa watoto
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Wazazi wakiamua watoto watafanikiwa
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Wazazi wanachangia watoto kufeli
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Wazazi tuzitathmini shule za watoto wetu