LIVE KUTOKA DODOMA:RAIS DKT MAGUFULI AKIWEKA JIWE LAMSINGI LA BARABARA MTUMBA
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-na2TtjOJRZI/XuJC3J-jCfI/AAAAAAALtb8/cM__1C5GO04wMnjDyvUq1LSoPSDNF7pJwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.-2048x1365.jpg)
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-na2TtjOJRZI/XuJC3J-jCfI/AAAAAAALtb8/cM__1C5GO04wMnjDyvUq1LSoPSDNF7pJwCLcBGAsYHQ/s640/1.-2048x1365.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/2-10-scaled.jpg)
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA IKULU YA CHAMWINO
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-1H7W3m7DN-U/XuJknVjsf3I/AAAAAAACNA8/pl69wKn7YU4YY6EuhmXeNOic-UQup7W3ACLcBGAsYHQ/s72-c/magu.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA TARURA NA ZIMAMOTO, AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA NA KUKABIDHI PIKIPIKI JIJINI DODOMA, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-1H7W3m7DN-U/XuJknVjsf3I/AAAAAAACNA8/pl69wKn7YU4YY6EuhmXeNOic-UQup7W3ACLcBGAsYHQ/s400/magu.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Juni, 2020 amezindua majengo ya Ofisi za Makao Makuu ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali Makao Makuu Dodoma na kukabidhi pikipiki 448 za Maafisa Tarafa hapa nchini.
Sherehe za uzinduzi wa jengo la TARURA, uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa kilometa 51.2 za barabara za lami katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZGolYkB5el4/XtJhetCbimI/AAAAAAALsFg/ykspJkq2fKMBfGTZz6S3JSfT7cY4ar4IgCLcBGAsYHQ/s72-c/8-3-2048x2001.jpg)
RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZGolYkB5el4/XtJhetCbimI/AAAAAAALsFg/ykspJkq2fKMBfGTZz6S3JSfT7cY4ar4IgCLcBGAsYHQ/s640/8-3-2048x2001.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/7-5-scaled.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benja min Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/5-9-scaled.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ZGolYkB5el4/XtJhetCbimI/AAAAAAALsFg/ykspJkq2fKMBfGTZz6S3JSfT7cY4ar4IgCLcBGAsYHQ/s72-c/8-3-2048x2001.jpg)
RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZGolYkB5el4/XtJhetCbimI/AAAAAAALsFg/ykspJkq2fKMBfGTZz6S3JSfT7cY4ar4IgCLcBGAsYHQ/s400/8-3-2048x2001.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/7-5-scaled.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Chepe ili kuweka zege na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benja min Mkapa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 30 Mei 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/5-9-scaled.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-0tZzK5KFFmM/XuJH6111yUI/AAAAAAACM_Y/YYhli3mjWEADwEDqbeamHer1QlEZFQ6mQCLcBGAsYHQ/s72-c/17.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KATIKA MJI WA SERIKALI, AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA TARURA NA OFISI ZA ZIMAMOTO MAKOLE JIJINI DODOMA, LEO
![](https://1.bp.blogspot.com/-0tZzK5KFFmM/XuJH6111yUI/AAAAAAACM_Y/YYhli3mjWEADwEDqbeamHer1QlEZFQ6mQCLcBGAsYHQ/s400/17.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-xc3EVu2CGYA/XuJIGBt2I7I/AAAAAAACM_c/1x-hs6N1qo4gRBesWgrbpfIWOXIGY9ByQCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Q5Ku3cvHD0o/XuJIRwvhcBI/AAAAAAACM_g/kDyLp-KiGiU0Gzwd705Qca6UdKcdHcahwCLcBGAsYHQ/s400/3.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-icyyVhUNGRo/Xm-wUP2y8UI/AAAAAAALj80/H5piA3fHWjEc8JMKtaIM71_TaoL4N9HhACLcBGAsYHQ/s72-c/d1.jpg)
RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA DARAJA LA KIEGEYA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO BARABARA YA DODOMA-MOROGORO
![](https://1.bp.blogspot.com/-icyyVhUNGRo/Xm-wUP2y8UI/AAAAAAALj80/H5piA3fHWjEc8JMKtaIM71_TaoL4N9HhACLcBGAsYHQ/s1600/d1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Xds39QOBh28/Xm-wWNr9rPI/AAAAAAALj88/Z07ktgvety8Qq1EVR0lF5aikmRFlMvObACLcBGAsYHQ/s1600/d2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gnyYxmskNlc/VPVIwhGrliI/AAAAAAAHHQQ/0wZ8bHjvt98/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
DKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWANGA-KIKWENI-VUCHAMA/LOMWE KM 40.6 MKOANI KILIMANJARO
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ametangaza kutobomolewa nyumba zilizopo kando kando ya barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-hadi Lomwe km 40.6 na kusema kuwa barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha lami kwa kutumia upana wake uliopo hivi sasa.Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo ya faraja kwa wakazi wa Kikweni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro kabla ya kuweka jiwe la msingi katika barabara ya Mwanga-Kikweni/Vuchama-Usangi hadi Lomwe(km 40) itakayojengwa kwa kiwango cha lami hivi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Jc1lJMhk750/VboqD25RJdI/AAAAAAAAtfM/EpVvSjXGxWo/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIA-MERERANI, JIJINI ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Jc1lJMhk750/VboqD25RJdI/AAAAAAAAtfM/EpVvSjXGxWo/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-y7fnOnJmtMU/VboqGt0PzGI/AAAAAAAAtf0/2P16AM1tNFA/s640/2B.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania