Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Liver, Man U safiii, Arsenal mhh!

Kasi ya Arsenal imepunguzwa baada ya kutoka  sare 2-2 na Southampton na kupoteza nafasi ya kuongoza kwa tofauti ya pointi nne kileleni, wakati Liverpool wakiisambaratisha Everton na Manchester United ikiinyuka Cardiff juzi Jumanne.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Man United yaichakaza Liver

Manchester, England. Manchester United imeendeleza wimbi lake la ushindi baada ya jana kuifumua Liverpool kwa mabao 3-0, katika mchezo wa Ligi Kuu England.

 

11 years ago

GPL

FT: MAN CITY 6 - 3 ARSENAL

Wafungaji wa Manchester City Sergio Agüero 14' , Álvaro Negredo 39', Fernandinho 50',  David Silva 66' , Fernandinho 88 Mfungaji wa Arsenal ni Theo Walcott 31',  63' na Mertesacker 90' LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA >> GLOBAL PUBLISHERS

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal,Mancity na Man U kuwania FA

Mshambuliaji wa Uingereza Theo Walcot anatarajiwa kuanza katika mechi ya leo ya raundi ya tatu ya kombe la FA dhidi ya Hull City.

 

11 years ago

Mwananchi

Man City yaichakaza Arsenal

England. Manchester City imepunguza kasi ya Arsenal katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya soka England baada ya kuichapa mabao 6-3.

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal wabwagwa na Man City 6-3

Manchester City, wametoa ujumbe mkali kwa mahasimu wao kwenye ligi ya Premier Arsenal baada ya kuwacharaza mabao sita kwa matatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Man U yatolewa kombe la FA na Arsenal

Timu ya Arsenal usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuwalaza mahasimu wao Manchester United kwa jumla ya mabao 2 - 1.

 

10 years ago

Mwananchi

Arsenal, Man City kikaangoni

England inaweza kukosa mwakilishi kwa mara ya pili ndani ya miaka mitatu katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kama Arsenal na Manchester City watashindwa kulipa kisasi katika michezo yao ya leo na kesho.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal yaitwanga Man city

Timu ya soka ya Arsenal imeendelea kujiimarisha katika ligi kuu ya England kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchestaer United .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani