LOWASSA AMALIZA KAZI JIMBO LA MONDULI, AMNADI JULIUS KALANGA KUWA NDIEANAFAA KUSHIKA MIKOBA YAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-3Kn7VKkxHTk/VhLIxNTPFZI/AAAAAAAADjI/haf8RW5lWeE/s72-c/OTH_0406.jpg)
Umati wa Wananchi wa Mji wa Monduli ambako ni Nyumbani kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, wakionekana kushangiliwa kwa furaha pindi Chopa yake ilipokuwa ikishuka katika Uwanja wa Polisi Monduli, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, Oktoba 5, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Wananchi wa Mji wa Monduli wakionyesha upendo wao kwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Mbunge wa Monduli alivyokabidhiwa mikoba ya kazi na wazee wa Kimasai !! (+Picha)
Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania tayari wameapishwa kwa asilimia kubwa, wachache waliobaki ni wa kutoka maeneo ambayo Uchaguzi Mkuu ulisogezwa mbele kwa sababu mbalimbali. Kama ulidhani kazi ya kuapishwa ilitosha kuumsogeza Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA) kuendelea na Ubunge, basi jibu ni hapana… wazee wa jamii ya kimasai, wamemkabidhi fimbo kama ishara ya kumbariki […]
The post Mbunge wa Monduli alivyokabidhiwa mikoba ya kazi na wazee wa Kimasai !! (+Picha)...
9 years ago
IPPmedia27 Oct
Kalanga elected new Monduli MP
IPPmedia
Chadema's Julius Kalanga is the new Monduli Member of Parliament after defeating Namelok Sokoine of CCM in a closely contested election held on Sunday. Announcing the results yesterday, Monduli Returning Officer, Ephraim ole Nguyaine told journalists ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RIryMEqSt_U/VYmn786lRLI/AAAAAAAC7Xg/H67iMyved_U/s72-c/2.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MISUNGWI,KESHO KUVAMIA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-RIryMEqSt_U/VYmn786lRLI/AAAAAAAC7Xg/H67iMyved_U/s640/2.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana,Leo aliendelea na ziara yake katika jimbo la Misungwi linaloongozwa na Mh. Charles Kitwanga ambaye pia ni naibu Waziri wa Nishati na Madini akitembelea maeneo...
10 years ago
Michuzi19 Nov
KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA
![01](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/012.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Nov
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amaliza ziara yake jimbo la Mtama
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister cha Narunyu ambapo ameshiriki kazi ya kukamua maziwa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali lakini pia kuhimiza uhai wa Chama cha Mapinduzi CCM, Katibu mkuu Kinana katika ziara...
9 years ago
Vijimambo25 Oct
EDWARD LOWASSA NAYE APIGA KURA YAKE HUKO MONDULI
![](http://api.ning.com/files/TJP9R5X7Wnd9wRZzvA*KV0dTOc2FepKyivdrOLCDXFDZzRLreiFZ1e-Fy5ev-jTKbQJ6zUwthUa8PU9ZR8pNEz0aXercJUBC/lowassa.jpg)
9 years ago
CCM Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-3_2gIqfCH8g/VigSH5780cI/AAAAAAAAqVA/lMDqjHT3BxQ/s72-c/IMG_07741.jpg)
KINANA AMNADI NAMELOK MONDULI
![](http://4.bp.blogspot.com/-3_2gIqfCH8g/VigSH5780cI/AAAAAAAAqVA/lMDqjHT3BxQ/s640/IMG_07741.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-s8OHHKgkhHA/VigSIoFE2mI/AAAAAAAAqVE/pUFhEfSbldo/s640/IMG_07811.jpg)
Katibu Mkuu ameendelea pia kumuombea kura mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli na kumueleza ni kiongozi mchapakazi...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3_2gIqfCH8g/VigSH5780cI/AAAAAAAAqVA/lMDqjHT3BxQ/s72-c/IMG_07741.jpg)
KINANA AMNADI NAMELOK SOKOINE MONDULI
![](http://4.bp.blogspot.com/-3_2gIqfCH8g/VigSH5780cI/AAAAAAAAqVA/lMDqjHT3BxQ/s640/IMG_07741.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-s8OHHKgkhHA/VigSIoFE2mI/AAAAAAAAqVE/pUFhEfSbldo/s640/IMG_07811.jpg)