Luis Atoboa Jinsi Alivyojikuta Akipendana na Wema Sepetu
Wiki iliyopita picha za mtandaoni zilionesha kuwa Wema Sepetu na mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Namibia, Luis Munana wamefunga ndoa.
Hakuna taarifa rasmi kutoka kwa wawili hao baada ya ‘ndoa’ hiyo kufungwa lakini Luis ameimbia Clouds E ya Clouds FM kuwa picha zilizosambaa n halisi na zilipigwa kwenye tukio hilo lililoshuhudiwa na familia zao zote mbili.
“Kwa sasa siwezi kuzungumzia chochote kuhusu picha hizo na ndio maana niliamua kuzifuta kwenye akaunti yangu kwakuwa lilikuwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Nov
Luis Munana afichua siri ya jinsi alivyojikuta akipendana na Wema Sepetu
![12063204_170966306581270_1126774933_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12063204_170966306581270_1126774933_n-300x194.jpg)
Wiki iliyopita picha za mtandaoni zilionesha kuwa Wema Sepetu na mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Namibia, Luis Munana wamefunga ndoa.
Hakuna taarifa rasmi kutoka kwa wawili hao baada ya ‘ndoa’ hiyo kufungwa lakini Luis ameimbia Clouds E ya Clouds FM kuwa picha zilizosambaa n halisi na zilipigwa kwenye tukio hilo lililoshuhudiwa na familia zao zote mbili.
“Kwa sasa siwezi kuzungumzia chochote kuhusu picha hizo na ndio maana niliamua kuzifuta kwenye akaunti yangu kwakuwa lilikuwa...
9 years ago
Bongo528 Oct
Picha: Wema Sepetu afunga ndoa na Luis Munana wa Namibia, ni movie tena?
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F_3krU1MtNQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/L87BcYtLJm8/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Bongo Movies01 Mar
Msiba Wa Komba: Wema Atoboa Kuwa Yeye ni Mwana CCM
Watu mbali mbali wakiwemo waigizaji wa filamu hapa nchni wanaendelea kuonyesha jinsi walivyoguswa na kifo cha Mh. Captain John Komba kupita kurasa zao za mitandaoni usasani mtandao wa Instagram, wamekuwa kuweka picha yake na kuandika maneno ya kumtakia kheri huko aendako.
Mwigizaji Wema Sepetu nae ni mojawapo alieguswa na msiba huu na kuandika mameno kuonyesha majonzi alionayo na kutoa kuwa yeye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi (CCM)kama alivyokuwa marehemu.
“Dah ni pigo kubwa...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
KUMRADHI WEMA SEPETU
Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi...