Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lukuvi hatishii, analidhalilisha jeshi na Kikwete

VYOMBO vya habari vilimkariri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi akipiga kampeni ambazo wakosoaji wake waliziita chafu na za kichovu kuhusiana na pendekezo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

>Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, vinginevyo nchi itatawaliwa na jeshi kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kuwalipa mishahara wanajeshi.

 

10 years ago

Michuzi

AMIRI JESHI MKUU NA RAIS WA TANZANIA DKT. JAKAYA KIKWETE AZINDUA MELI VITA ZA JESHI LA WANAMAJI


1Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 20152Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 201534Amiri Jeshi...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LAANDAA SHEREHE ZA KUMUAGA AMIRI JESHI MKUU MHE. DKT KIKWETE

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO


Simu ya Upepo   : “N G O M E”        Makao Makuu ya Jeshi,

Simu ya Mdomo : DSM  22150463     Sanduku la Posta 9203,

Telex                     : 41051                      DAR ES SALAAM,  31 Agosti, 2015,

Tele Fax                : 2153426

Barua pepe               : ulinzimagazine@yahoo.co.uk

Tovuti                  : www.tpdf.mil.tz

                    


     Taarifa kwa Vyombo vya Habari          Vyombo vya Ulinzi na Usalama...

 

10 years ago

Michuzi

Raisi Kikwete atunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli, JWTZ wamzawadia

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili  kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli leo. Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride muda mfupi kabla ya kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi Afisa mwanafunzi bora Luteni Usu Antony Shija wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya leo katika chu cha jeshi TMA Monduli leo.

 

11 years ago

Mwananchi

Lukuvi azomewa mbele ya Kikwete

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amejikuta katika wakati mgumu mbele ya Rais Jakaya Kikwete baada ya kuzomewa hadi kukatisha hotuba yake akipingwa na wananchi pamoja na madiwani wa CCM wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma alipokuwa akitetea kuwapo kwa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA).

 

11 years ago

Tanzania Daima

YA KIKWETE, KARUME NA LUKUVI: Ni ghiliba, woga au uchovu kisiasa?

NAANZA kushindwa kuandika mara kwa mara. Kama ulimi unavyokwama ndivyo mkono unavyotetemeka. Hasa juu ya hili la watawala kusingizia jeshi kuwa litapindua serikali pindi nchi ikiwa na utawala wa mfumo...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete ataka jeshi dogo, la kisasa

SERIKALI iko katika mkakati madhubuti wa kuliboresha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ili kuwa na jeshi dogo lenye maslahi bora, silaha za kisasa zinazokwenda na wakati na kuwa na vyombo vya usafiri vya barabarani, angani na majini.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ahadharisha Jeshi la Polisi

Zikiwa zimesalia siku nne Uchaguzi Mkuu ufanyike, Rais Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuwa makini na watu aliowataja kuwa chanzo cha kuleta vurugu siku ya kupiga kura, Jumapili hii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani