LULU BADO HAJIWEZI KWA BIEBER
STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael amesema kuwa bado anateswa na penzi la staa wa muziki wa Pop, Justin Bieber na kwamba yupo tayari hata kuchukuliwa bure. Staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu'. Chanzo makini kiliitonya Amani kuwa, staa huyo uvumilivu umemshinda kila aonapo sura ya Bieber popote na hata majuzi alimng’ang’ania sana staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLULU AWAJIBU WANAOSEMA HAWEZI KUMPATA JUSTIN BIEBER
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Selena Gomez: Bado nampenda Justin Bieber
NEW YORK, MAREKANI
MWANAMUZIKI maarufu nchini Marekani, Selena Gomez, ameibuka na kudai kwamba bado anampenda aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki wa RnB, Justin Beiber.
Wawili hao walianza uhusiano mwaka 2011, lakini miaka mitatu baadaye waliachana.
Hata hivyo, japokuwa wameachana, lakini mrembo huyo amesisitiza kuwa ataendelea kumpenda msanii huyo kwa kuwa alimzoea na wamekuwa wote tangu wakiwa wadogo.
“Siwezi kuzuia hisia zangu kwa Beiber, nitaendelea kumpenda milele kwa kuwa...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
BBCSwahili07 Aug
Muziki wa zamani bado ni lulu DRC
10 years ago
GPLLULU BADO AMTESA MAMA KANUMBA
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Bieber aadhibiwa kwa kufanya uharibifu
11 years ago
GPLJUSTIN BIEBER ASHTAKIWA KWA KUMPIGA DEREVA