LULU: MIMI NA DK. CHENI NI SIRI YETU!
Brighton Masalu SIKU Chache baada ya muigizaji wa siku nyingi, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kutoa tamko juu ya kumuoa ‘mtoto mkubwa’ katika tasnia hiyo, Elizaberth Michael Kimemeta ‘Lulu’, binti huyo mwenye mvuto amesema hakuna mtu wa kumzuia kuwa karibu na Dk. Cheni huku akishikilia alichokisema…. “mambo yetu hayamhusu mtuâ€, Amani linaandika. Waigizaji wa siku nyingi,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
11 years ago
GPLPOZI LA LULU, DK CHENI MHHH...
11 years ago
GPLLULU AMMWAGIA DOLA DK. CHENI
9 years ago
GPLDK. CHENI AFUNGUKA KUMUOA LULU
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Hakika Familia ya Dr Cheni na Lulu ni Ndugu!!!
Undugu sio lazima uwe wa damu tu, hata kushirikiana kwenye raha na tabu nao ni undugu tena huu ndio mimi naukubali zaidi.Sote tunajua na kutambua ni jinsi gani mwingizaji Mahsein Awadh “Dr Cheni “ alivyokuwa mstari wa mbele katika kipindi chote cha sekeseke la mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael “Lulu” ambae Dr Cheni amekuwa akimchukulia Lulu kama "mtoto" wake, hivyo hivyo Lulu amekuwa akimchukulia Dr Cheni kama "baba" na mtu wakaribu.
Sasa kilicho nifurahisha mimi kile ambacho familia ya...
10 years ago
Bongo Movies30 Dec
Hakika Familia ya Dr Cheni na Lulu ni Ndugu Ati!!!
Undugu sio lazima uwe wa damu tu, hata kushirikiana kwenye raha na tabu nao ni undugu tena huu ndio mimi naukubali zaidi.Sote tunajua na kutambua ni jinsi gani mwingizaji Mahsein Awadh “Dr Cheni “ alivyokuwa mstari wa mbele katika kipindi chote cha sekeseke la mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael “Lulu” ambae Dr Cheni amekuwa akimchukulia Lulu kama "mtoto" wake, hivyo hivyo Lulu amekuwa akimchukulia Dr Cheni kama "baba" na mtu wakaribu.
Sasa kilicho nifurahisha mimi kile ambacho familia ya...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Cheni (Mkufu) wa LULU wazua utata. Wengi wasema ni kama wa IDRIS. Wachache wadai eti ni FREEMASONS
Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau yameanzaje kujitokeza kuhusu cheni hiyo pamoja na maana yake.
Huku kukiwa bado kuna vuguvugu la ushindi wa Tshs. MILLIONI 500 za kijana Idris toka jumba la BIG BROTHER na lulu akiwa ni mmoja wa watu wakubwa sana waliokuwa wanawahimiza wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mipaka yake kumpigia kura kijana huyu ili ashinde, maswali Kadhaa...
11 years ago
GPLLULU: MIMI NIMPE PENZI DIAMOND..!
11 years ago
GPLMNAIBIWA BURE, MIMI SIPO FB-LULU