Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNAIBIWA BURE, MIMI SIPO FB-LULU

Stori: Mayasa mARIWATA
STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hajawahi kufungua akaunti kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook ‘FB’ na kwamba aliyefungua kwa jina lake ana nia ya kuwaibia mashabiki wake. STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ Akizungumzia akauniti hiyo inayoonekana ni feki yenye sura ya kuwaingiza mjini mashabiki wake, Lulu alisema haitambui na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

9 years ago

GPL

LULU: MIMI NA DK. CHENI NI SIRI YETU!

Brighton Masalu SIKU Chache baada ya muigizaji wa siku nyingi, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kutoa tamko juu ya kumuoa ‘mtoto mkubwa’ katika tasnia hiyo, Elizaberth Michael Kimemeta ‘Lulu’, binti huyo mwenye mvuto amesema hakuna mtu wa kumzuia kuwa karibu na Dk. Cheni huku akishikilia alichokisema…. “mambo yetu hayamhusu mtu”, Amani linaandika. Waigizaji wa siku nyingi,...

 

11 years ago

GPL

LULU: MIMI NIMPE PENZI DIAMOND..!

Elizabeth Michael ‘Lulu’. Stori:  Mayasa Mariwata
STAA kiwango katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha uvumi uliozagaa mitaani kuhusu kutoka kimapenzi na mbabe wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Nasibu Abdul…

 

10 years ago

GPL

LULU: MIMI SINA JINI MAUTI JAMANI

WAANDISHI WETU MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea, Amani linakujuza. Msanii nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’. Akizungumza na gazeti hili juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi yanayomtokea, muigizaji huyo wa filamu ya Foolish Age,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper:Sipo Tayari Kutumika na Wafanyabiashara

Mrembo na staa wa Bongo Movies ,Jaqueline  Massawe Wolper  amefunguka kuwa anajua thamani yake kama msanii hivyo hawezi kutumika na wafanyabiashara kwa kuwatangazia biashara zao bila kuwa na mikataba ya kueleweka au mtu kumfanyia maamuzi pasipokuwa na makubaliano na kufikia mwafaka kuhusu hilo.

“Kujenga jina katika sanaa si kazi ndogo, unapigana na kujitoa na inapotokea maarufu watu wanaanza kuona thamani ya jina ulilolijenga basi ni wakati wa kulilipia na si bure tena,”anasema.

Jack...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nuhu Mziwanda: Sipo na Shilole Hivi Sasa

Msaniii Nuhu Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya 'Bilima' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hayupo na Shilole, Nuhu amesema hayo jana alipokuwa Kikaangoni akichat na mashabiki kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.


Toka ulipoaanza mwezi wa ramadhan kulikuwa na tetesi kuwa msanii Nuhu amehama kutoka kwa Shilole na sasa anaishi kwake mwenywe hilo limethibitishwa Nuhu alipokuwa akijibu swali la kwanini mpaka sasa anaendelea kuishi na Shilole kwenye nyumba ambayo Shilole...

 

11 years ago

GPL

MENSEN SELECTA: SIPO KWA AJILI YA WASANII WA ARUSHA

Prodyuza Mensen Selecta akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Na Mohammed Mdose
PRODYUZA anayefanya vizuri kwa sasa hapa nchini katika utayarishaji wa muziki wa kizazi kipya, Mensen Selecta kutoka Studio ya D Fatality, amekanusha uvumi unaozidi kutanda kuhusiana na kuwabeba wasanii kutoka Arusha ili ‘kuwaboost’ na kuwaweka juu kwenye ‘game’. Akizungumza kupitia Global TV Online, Selecta...

 

9 years ago

Mwananchi

Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani