Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wolper:Sipo Tayari Kutumika na Wafanyabiashara

Mrembo na staa wa Bongo Movies ,Jaqueline  Massawe Wolper  amefunguka kuwa anajua thamani yake kama msanii hivyo hawezi kutumika na wafanyabiashara kwa kuwatangazia biashara zao bila kuwa na mikataba ya kueleweka au mtu kumfanyia maamuzi pasipokuwa na makubaliano na kufikia mwafaka kuhusu hilo.

“Kujenga jina katika sanaa si kazi ndogo, unapigana na kujitoa na inapotokea maarufu watu wanaanza kuona thamani ya jina ulilolijenga basi ni wakati wa kulilipia na si bure tena,”anasema.

Jack...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Sheria kutumika kubana wafanyabiashara

UONGOZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro umesema kuanzia sasa utaanza kutumia sheria, taratibu na kanuni zilizopitishwa kisheria kuhakikisha wafanyabiashara wanafanya kazi zao katika maeneo yaliyotengwa ikiwamo masoko na si vinginevyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala Asema Yupo Tayari Kugharamia Harusi ya Wolper na Manaiki

UBUYU: Mrembo na mwigizaji anayefanya vizuri kunako soko la filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ameweka wazi kuwa yuko tayari kugharamia sherehe ya harusi ya Manaiki Sanga na Jacqueline Wolper Massawe kama mambo yataenda sawa.

Akizungumzia swala la mwigizaji na rafiki yake Jackline Wolper kuchumbiwa na msanii Manaiki Sanga,Kajala alisema kutokana na ukaribu alionao kwa watu hao basi mambo yote yanayohusiana na sherehe yatakuwa chini yake kwa maana ya gharama zote na kikubwa ni kuwaombea...

 

10 years ago

Vijimambo

Kajala Asema Yupo Tayari Kugharamia Harusi ya Wolper na Manaiki

Jack Wolper na Kajala Mrembo na mwigizaji anayefanya vizuri kunako soko la filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ameweka wazi kuwa yuko tayari kugharamia sherehe ya harusi ya Manaiki Sanga na Jacqueline Wolper Massawe kama mambo yataenda sawa.Jack Wolper na Manaiki SangaAkizungumzia swala la mwigizaji na rafiki yake Jackline Wolper kuchumbiwa na msanii Manaiki Sanga,Kajala alisema kutokana na ukaribu alionao kwa watu hao basi mambo yote yanayohusiana na sherehe yatakuwa chini yake kwa...

 

11 years ago

GPL

MNAIBIWA BURE, MIMI SIPO FB-LULU

Stori: Mayasa mARIWATA
STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hajawahi kufungua akaunti kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook ‘FB’ na kwamba aliyefungua kwa jina lake ana nia ya kuwaibia mashabiki wake. STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ Akizungumzia akauniti hiyo inayoonekana ni feki yenye sura ya kuwaingiza mjini mashabiki wake, Lulu alisema haitambui na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nuhu Mziwanda: Sipo na Shilole Hivi Sasa

Msaniii Nuhu Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya 'Bilima' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hayupo na Shilole, Nuhu amesema hayo jana alipokuwa Kikaangoni akichat na mashabiki kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.


Toka ulipoaanza mwezi wa ramadhan kulikuwa na tetesi kuwa msanii Nuhu amehama kutoka kwa Shilole na sasa anaishi kwake mwenywe hilo limethibitishwa Nuhu alipokuwa akijibu swali la kwanini mpaka sasa anaendelea kuishi na Shilole kwenye nyumba ambayo Shilole...

 

11 years ago

GPL

MENSEN SELECTA: SIPO KWA AJILI YA WASANII WA ARUSHA

Prodyuza Mensen Selecta akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Na Mohammed Mdose
PRODYUZA anayefanya vizuri kwa sasa hapa nchini katika utayarishaji wa muziki wa kizazi kipya, Mensen Selecta kutoka Studio ya D Fatality, amekanusha uvumi unaozidi kutanda kuhusiana na kuwabeba wasanii kutoka Arusha ili ‘kuwaboost’ na kuwaweka juu kwenye ‘game’. Akizungumza kupitia Global TV Online, Selecta...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!

"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini  na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.

Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...

 

10 years ago

BBCSwahili

Simu kutumika angani

Shirika la usalama angani la umoja wa ulaya (EASA) limesema vifaa vya kielekroniki vinaweza kutumika pindi ndege iwapo angani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Gesi yaanza kutumika Tanzania

Mradi wa Gesi kusini mwa Tanzaia,mkoani Mtwara umefikia asilimia 94 na tayari imeanza kutumika katika baadhi ya maeneo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani