Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MENSEN SELECTA: SIPO KWA AJILI YA WASANII WA ARUSHA

Prodyuza Mensen Selecta akipozi ndani ya studio za Global TV Online. Na Mohammed Mdose
PRODYUZA anayefanya vizuri kwa sasa hapa nchini katika utayarishaji wa muziki wa kizazi kipya, Mensen Selecta kutoka Studio ya D Fatality, amekanusha uvumi unaozidi kutanda kuhusiana na kuwabeba wasanii kutoka Arusha ili ‘kuwaboost’ na kuwaweka juu kwenye ‘game’. Akizungumza kupitia Global TV Online, Selecta...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

11 years ago

CloudsFM

WITNESS NA MPENZI WAKE WAANZISHA SHULE KWA AJILI YA WASANII

Msanii wa zamani wa kundi la Wakilisha Witness pamoja na mpenzi wake ambaye naye ni msanii aitwaye Ochu Sheggy hivi karibuni wameachia audio na video ya ngoma yao mpya iitwayo Think About It, lakini pamoja na kuipromote ngoma hiyo wasanii hao wameanzisha shule kwa ajili ya wasanii ‘under grounds’,inaitwa ochuness all you need to know in this music business.

 

5 years ago

Michuzi

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa kwa ajili ya kuwasaidia watoto Njiti, Hospitali ya Muriet jijini Arusha



Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kaskazini, George Venanty(mwenye fulana nyekundu) wakati kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kupitia asasi isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation walipokabidhi vifaa vyenye thamani ya zaidi ya  shilingi 42 milioni kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) kwenye hospitali ya Muriet mkoani humo ili kuwapa uwezo wa kupumua,kuongeza joto na kuwapa tiba mwanga . Katikati yao...

 

11 years ago

GPL

MNAIBIWA BURE, MIMI SIPO FB-LULU

Stori: Mayasa mARIWATA
STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hajawahi kufungua akaunti kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook ‘FB’ na kwamba aliyefungua kwa jina lake ana nia ya kuwaibia mashabiki wake. STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ Akizungumzia akauniti hiyo inayoonekana ni feki yenye sura ya kuwaingiza mjini mashabiki wake, Lulu alisema haitambui na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wolper:Sipo Tayari Kutumika na Wafanyabiashara

Mrembo na staa wa Bongo Movies ,Jaqueline  Massawe Wolper  amefunguka kuwa anajua thamani yake kama msanii hivyo hawezi kutumika na wafanyabiashara kwa kuwatangazia biashara zao bila kuwa na mikataba ya kueleweka au mtu kumfanyia maamuzi pasipokuwa na makubaliano na kufikia mwafaka kuhusu hilo.

“Kujenga jina katika sanaa si kazi ndogo, unapigana na kujitoa na inapotokea maarufu watu wanaanza kuona thamani ya jina ulilolijenga basi ni wakati wa kulilipia na si bure tena,”anasema.

Jack...

 

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

11 years ago

Michuzi

wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania

Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia.

TerrenceAkizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi uliopita, Juni 14, 2014, Rais Kikwete aliahidi kuchangia kuinua kiwango cha usanii na weledi wa wasanii wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nuhu Mziwanda: Sipo na Shilole Hivi Sasa

Msaniii Nuhu Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya 'Bilima' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hayupo na Shilole, Nuhu amesema hayo jana alipokuwa Kikaangoni akichat na mashabiki kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.


Toka ulipoaanza mwezi wa ramadhan kulikuwa na tetesi kuwa msanii Nuhu amehama kutoka kwa Shilole na sasa anaishi kwake mwenywe hilo limethibitishwa Nuhu alipokuwa akijibu swali la kwanini mpaka sasa anaendelea kuishi na Shilole kwenye nyumba ambayo Shilole...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani