MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiingia ukumbini siku ya Jumapili Feb. 23, 2014 kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yaliyofanyika College Park, Maryland na kuhudhuriwa na wafuasi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi DMV.
Meza kuu kutoka kushoto ni Ismail (katibu wa Vijina CCM DMV) George Sebo (mwanyekiti CCM DMV) Mhe. Liberata Mulamula (Balozi wa Tanzania nchini Marekani), Mama Kimolo (kitengo cha UWT) na Phanuel Ligate (CCM tawi la California)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUBWA WA KIROHO KUENDELEA LEO JUMAMOSI DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0mBuDM0BGuI/UzEAabnb9uI/AAAAAAAFWGI/RTL1qsQ5xb0/s72-c/images.jpg)
JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-0mBuDM0BGuI/UzEAabnb9uI/AAAAAAAFWGI/RTL1qsQ5xb0/s1600/images.jpg)
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...
11 years ago
MichuziBALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV
11 years ago
GPLBALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA AKIBIDHIWA OFISI RASMI NA BALOZI JOHN HAULE
10 years ago
MichuziBALOZI LIBERATA MULAMULA AONDOKA RASMI MAREKANI KURUDI TANZANIA
BOFYA HAPA KWA...
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGANA RASMI NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WASHINGTON DC.
10 years ago
VijimamboBALOZI LIBERATA MULAMULA AWAAGA TAMCO RASMI, ASEMA UMOJA NA MSHIKAMANO WAO NI MFANO WA KUIGWA NA JUMUIYA ZINGINE
Katika hotuba yake. Mhe. Liberata Mulamula aliwakuwakumbusha alipokuja kwa mara ya kwanza kulitumikia Taifa kama Balozi wa Tanzania nchini...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-jnQLU3Nn_DI/VEqdFre7N1I/AAAAAAABKcE/GjBfWn5BltE/s72-c/unnamed.jpg)
MHE.BALOZI MULAMULA MGENI RASMI SHEREHE ZA UHURU WASHINGTON DC DEC 6, 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-jnQLU3Nn_DI/VEqdFre7N1I/AAAAAAABKcE/GjBfWn5BltE/s1600/unnamed.jpg)
TEGA SIKIO TAARIFA ZAIDI HIVI PUNDE