MAALIM SEIF AFUNGUA MSIKITI MPYA KINYASINI PEMBA
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika eneo la Msikiti wa Kinyasini na kupokelewa na Mwakilishi wa Jimbo la Mgogoni Mhe:Abubakar Khamis Bakary, kwa lengo la kuufungua mskiti huo.
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe:Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mwakilishi wa Jumuiya ya IHH kutoka uturuki, mara baada ya kuwasili katika mskiti wa Kinyasini Uliojengwa na Mfadhili Hassan Hussein kutoka Uturuki.
MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMaalim Seif afungua rasmi wa jengo la maalum la mchezo wa Judo, Gombani Chake Chake,Pemba
11 years ago
MichuziMAALIM SEIF ZIARANI PEMBA
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea haja ya kuwashajiisha wakulima kulima kwa wingi mazao yanayopendwa zaidi na wananchi, ili kupunguza mfumko wa bei hasa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Akitembelea masoko ya Chake Chake na Wete Kisiwani Pemba kuangalia bei za bidhaa mbali mbali zikiwemo za matunda, Maalim Seif amesema licha na kuwepo bidhaa nyingi lakini bei zake bado ziko juu ikilinganishwa na kipato cha wananchi.
Amesema...
9 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AONGOZA MATEMBEZI YA MAZOEZI PEMBA
10 years ago
MichuziMAALIM SEIF AKIZINDUA MRADI WA MAJI SAFI,PEMBA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bJHP41Z-Cfk/U8ucafcYP-I/AAAAAAAF3-g/Ytigh_D0HxY/s72-c/unnamed+(1).jpg)
MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bJHP41Z-Cfk/U8ucafcYP-I/AAAAAAAF3-g/Ytigh_D0HxY/s1600/unnamed+(1).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HBDW2BoXQtg/U8ucacksJtI/AAAAAAAF3-s/d95f9kT9t1Q/s1600/unnamed+(2).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_2Vg8XS7lYU/U8ucaf_O-eI/AAAAAAAF3-k/BfqXC3X3cz4/s1600/unnamed+(3).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-XnSwHTWj3YU/VSjGb2KtA7I/AAAAAAAHQPw/Nnbx_Nb6TLQ/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
Maalim seif azindua msikiti wa Ijumaa MASJIDIL AQSAA katika kijiji cha Kiboje Mkwajuni, Zanzibar
9 years ago
MichuziMaalim SEIF SHARIF HAMAD akutana na Wagombea wa CUF - Pemba
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Foz3qEtWmDE/VKlv6duyjMI/AAAAAAAG7Nk/kwfR6IID9DI/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
MAALIM SEIF AFUNGUA SKULI TUMBE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iHCoeaZJprM/VZ165IfJgyI/AAAAAAAHn2s/wqmmeZ_eWZo/s72-c/unnamed%2B%252865%2529.jpg)
MAALIM SEIF AITEMBELEA FAMILIA YA WATOTO SITA WENYE ULEMAVU, PEMBA
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo ameitembelea na kuifariji familia ya Bw. Saleh Juma Saleh yenye watoto sita wenye ulemavu.
Akizungumza na familia hiyo nyumbani kwao Kinyasini Mkarafuuni Wilaya ya Wete Pemba, katika mfululizo wa ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, Maalim Seif ameitaka kuwa na subra na upendo kwa watoto hao wakielewa kuwa huo ni mtihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Amemuagiza Mkuu Mkuu wa...