Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI -2

WIKI iliyopita tulieleza matatizo ya fangasi sehemu za siri na jinsi wanavyowasumbua waliokumbwa na maradhi haya, tunaeleza ni wanawake gani hupatwa na tatizo hili. Leo tunaendelea kuwaelimisha na tunaanza kufafanua wale wanaopatwa na ugonjwa huu, endelea: Wengine wanaopatwa na fangasi hawa sehemu za siri ni wale wanaotumia sana dawa za kuua bakteria (antibiotics, steroids) ambazo zina tabia ya kushusha kinga ya mwili.Mabadiliko...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI -3

WIKI iliyopita tulieleza madhara ya fangasi zehemu ya siri na jinsi ugonjwa huo unavyosumbua wanawake.
Leo tunaendelea kuelezea fangasi sehemu za siri wanavyosumbua na tuliahidi kwamba tutaeleza tiba yake.
Baada ya kueleza mengi kuhusiana na ugonjwa huu leo tutaeleza matibabu yake ambayo huusisha dawa za kutibu fangasi (antifungal drugs) kama vile dawa za kupaka za Topical Clotrimazole, Topical Nystatin, Fluconazole au...

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi sehemu za siri. Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na uwepo wa fangasi wanaojulikana kitaalamu kama Candida Albicans ambayo pia hujulikana kama Yeast Infection au Thrush. Fangasi hupatikana kama vimelea vya kawaida katika mdomo, mpira wa kupitisha chakula sehemu inayojulikana kama Pharynx, katika kibofu cha mkojo,...

 

10 years ago

GPL

TIBA YA FANGASI WANAOSHAMBULIA SEHEMU ZA SIRI

Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu kuhusu tatizo la fangasi kwa wajawazito baada ya kueleza tatizo la kuwashwa sehemu za siri kunakotokana na fangasi  na tukaahidi kwamba tiba na ushauri tutafafanua leo. Kabla ya kueleza tiba tufafanue kwamba kuna baadhi ya mambo yanayosababisha watu kuwashwa sehemu hizo nyeti kama vile kuwa na fangasi tuliowataja  katika matoleo yetu yaliyopita. Wengine huwashwa kutokana na kutumia dawa za...

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI KWA WAJAWAZITO

WIKI iliyopita tuliona jinsi fangasi wanavyoambukiza na kusababisha madhara mbalimbali sehemu za siri.
Leo tunakwenda mbele zaidi kwa kuangazia akina mama wenye ujauzito ambao hupata fangasi hawa kutokana na kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini na kupungua kwa kinga ya mwili. Hata hivyo, ieleweke kuwa si kila mjamzito hupatwa na maambukizi haya ya fangasi wa Candida albicans.
Matumizi ya dawa za kupanga uzazi  maarufu...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Tanzania Daima

Kukata, kuharibu sehemu za siri — 3

KAMA kawaida tuanze na kishtua mada kutoka kwa washkaji wawili. Mshikaji 1: Juzi Siku ya Wapendanao tulikubaliana na mchumba wangu kwamba kwa kuwa tutaoana; tusifichane siri. Nilimwambia siri yangu kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kukata, kuharibu sehemu za siri

KAMA kawaida tunaanza makala hii na kishtua mada kwa kuwasikiliza washikaji wawili wakijadili jambo na kutuachia ujumbe. Mshikaji 1: Nasikia huko kwenu Mtwara ni washindi wa mambo mawilil; kuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani