Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAMBUKIZI YA FANGASI KWA WAJAWAZITO

WIKI iliyopita tuliona jinsi fangasi wanavyoambukiza na kusababisha madhara mbalimbali sehemu za siri.
Leo tunakwenda mbele zaidi kwa kuangazia akina mama wenye ujauzito ambao hupata fangasi hawa kutokana na kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini na kupungua kwa kinga ya mwili. Hata hivyo, ieleweke kuwa si kila mjamzito hupatwa na maambukizi haya ya fangasi wa Candida albicans.
Matumizi ya dawa za kupanga uzazi  maarufu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi sehemu za siri. Maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na uwepo wa fangasi wanaojulikana kitaalamu kama Candida Albicans ambayo pia hujulikana kama Yeast Infection au Thrush. Fangasi hupatikana kama vimelea vya kawaida katika mdomo, mpira wa kupitisha chakula sehemu inayojulikana kama Pharynx, katika kibofu cha mkojo,...

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI -3

WIKI iliyopita tulieleza madhara ya fangasi zehemu ya siri na jinsi ugonjwa huo unavyosumbua wanawake.
Leo tunaendelea kuelezea fangasi sehemu za siri wanavyosumbua na tuliahidi kwamba tutaeleza tiba yake.
Baada ya kueleza mengi kuhusiana na ugonjwa huu leo tutaeleza matibabu yake ambayo huusisha dawa za kutibu fangasi (antifungal drugs) kama vile dawa za kupaka za Topical Clotrimazole, Topical Nystatin, Fluconazole au...

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI -2

WIKI iliyopita tulieleza matatizo ya fangasi sehemu za siri na jinsi wanavyowasumbua waliokumbwa na maradhi haya, tunaeleza ni wanawake gani hupatwa na tatizo hili. Leo tunaendelea kuwaelimisha na tunaanza kufafanua wale wanaopatwa na ugonjwa huu, endelea: Wengine wanaopatwa na fangasi hawa sehemu za siri ni wale wanaotumia sana dawa za kuua bakteria (antibiotics, steroids) ambazo zina tabia ya kushusha kinga ya mwili.Mabadiliko...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maambukizi ya VVU kwa wajawazito yapungua

MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa wajawazito yamepungua kutoka asilimia 3 hadi 2.3. Hayo yamebainishwa na Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la EGPAF Mkoa wa Tabora, Alphaxard Lwitakubi, alipozungumza...

 

9 years ago

Habarileo

Maambukizi VVU kwa wajawazito Dodoma yapungua

KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa wajawazito mkoani hapa kimeshuka kutoka asilimia 1.9 mwaka jana hadi kufikia asilimia 1.3 mwaka huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Zaidi ya maambukizi 10,000 kwa siku moja Marekani wakati Uhispania ikiongoza kwa maambukizi ya corona

Takwimu za sasa za ugonjwa wa Covid-19 zaonyesha Uhispania kuongoza huku Marekani maambukizi yaongezeka kwa kasi ndani ya siku moja tu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuzaliana kwa wingi huongeza vifo kwa wajawazito

Hivi karibuni dunia iliadhimisha Siku ya Utepe Mweupe na Uzazi Salama, ambayo iliambatana na kaulimbiu ya, ‘Wajibika Mama Aishi’.

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA KASWENDE KWA WAJAWAZITO-2

Toleo lililopia tulichambua athari za ugonjwa wa kaswende kwa wajawazito, tukaeleza mengi. Endelea... Ugonjwa huu unaambukizwa kwa njia ya kujamiiana bila kutumia kinga (ngono zembe) dhidi ya mtu mwenye ugonjwa huo. Njia nyingine ni mwanamke aliyeambukizwa ugonjwa huo wakati wa ujauzito anaweza kumuambukiza mtoto wake wakati wa ujauzito. Pia huambukizwa kupitia michubuko au mipasuko kwenye ngozi wakati wa kufanya ngono zembe.
...

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA KASWENDE KWA WAJAWAZITO-4

TUNAENDEA kuchambua ugonjwa wa kaswende kwa wajawazito, leo tutaeleza madhara kwa watoto walio tumboni. Endelea... Wakati wa kuugua aina hii ya kaswende, muathirika huwa hana dalili wala viashiria vyovyote vile na uwezo wake wa kuambukiza mtu mwingine huwa chini au hawezi kabisa kumuambukiza ugonjwa huu mtu mwingine. Kaswende ya baadaye
Asilimia 30 ya wagonjwa wa kaswende ambao hawakupata tiba hapo awali huingia kwenye kundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani