Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuzaliana kwa wingi huongeza vifo kwa wajawazito

Hivi karibuni dunia iliadhimisha Siku ya Utepe Mweupe na Uzazi Salama, ambayo iliambatana na kaulimbiu ya, ‘Wajibika Mama Aishi’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Vifo kwa wajawazito, watoto vyapungua Kigoma

Kasi ya vifo vinavyotokana  na uzazi  kwa wajawazito na  watoto vimepungua mkoani Kigoma kutokana na kuanzishwa na kutekelezwa kwa mpango mkakati wa huduma ya upasuaji katika vituo vya afya vijijini.

Mpango huo umewezesha wanawake wengi wajawazitio kuondokana na adha ya kusafirishwa umbali mrefu kufuata huduma hiyo pindi inapohitajika katika hospatali za wilaya ama mkoa.

Kwa mujibu wa taarifa za Afya mkoani Kigoma, wanawake 62 walipoteza maisha mwaka 2014 kutokana na matatizo ya uzazi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinga dhidi ya malaria hupunguza vifo kwa wajawazito

>Kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa malaria wakati wa ujauzito kunasaidia kupunguza hatari ya vifo kwa mama wajawazito na watoto wachanga wanaotarajiwa kuzaliwa, ripoti imebainisha.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yapongezwa kwa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto

IMG_00511

Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vifo vya watoto, wajawazito vitazamwe kwa jicho la tatu

KUTOKANA na matatizo yanayoikabili sekta ya afya ikiwemo huduma zote stahiki kwa mjamzito, watoto walio chini ya miaka mitano na wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 ni wakati muafaka...

 

9 years ago

MillardAyo

Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu…

Makamu wa rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, headlines zake zinaendelea kunifikia mtu wangu, naomba ukutane na maneno yake najua utatoka na kitu…leo ni kuhusu wakina mama wajawazito kupoteza maisha wakati wa kujifungua. ‘Tanzania tumepiga hatua kubwa kwenye malengo ya Millenia lakini tumeshindwa kwenye vifo vya wakina mama wajawazito, tumepiga hatua kubwa kwa watoto […]

The post Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu… appeared first on...

 

9 years ago

Michuzi

RC Makalla awashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi kufanya usafi

RC Makalla awashukuru wana Kilimanjaro kwa kujitokeza kwa wingi kufanya usafi, ataka kila Jumamosi ya mwanzo wa mwezi iwe maalum kwa usafi 

Na Mwandishi Wetu, KilimanjaroMKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Mh Amos Makalla, amewapongeza wakazi na wananchi wake katika mkoa huo kwa kuunga mkono agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli la kufanya usafi na kutunza mazingira katika siku ya Uhuru, 9 Desemba iliyoadhimishwa jana nchini kote. 
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mh Amos...

 

10 years ago

Habarileo

Sababu vifo vya wajawazito zatajwa

UKOSEFU wa nyumba za watumishi katika Sekta ya Afya hasa maeneo yenye miundombinu duni ya usafiri kunakofanya watumishi kushindwa kukaa katika maeneo hayo, kumetajwa kuwa ni moja ya mambo yanayochangia kuongeza vifo vya wajawazito na watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Vifo vya wajawazito vyaweza kuzuilika

Takwimu za hivi karibuni hapa nchini zinaonyesha kwamba kwa mwaka, Tanzania inapoteza kina mama 7,900 kutokana na sababu zitokanazo na ujauzito. Idadi hiyo ni sawa na vifo 22 kwa siku.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani