Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinga dhidi ya malaria hupunguza vifo kwa wajawazito

>Kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa malaria wakati wa ujauzito kunasaidia kupunguza hatari ya vifo kwa mama wajawazito na watoto wachanga wanaotarajiwa kuzaliwa, ripoti imebainisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Mtindi kinga dhidi ya kemikali hatari kwa wajawazito na watoto

Unaposikia au kuona maziwa ya mtindi, hisia zinazokufikia haraka ni zile za uchachu na ladha nzuri ya kinywaji hicho.

 

11 years ago

Habarileo

Wanasayansi waikumbusha serikali kinga dhidi ya malaria

WANASAYANSI nchini wameshauri serikali kuwekeza zaidi katika kinga kukabiliana na ugonjwa wa malaria nchini na sio kuwekeza fedha nyingi katika dawa.

 

9 years ago

StarTV

Vifo kwa wajawazito, watoto vyapungua Kigoma

Kasi ya vifo vinavyotokana  na uzazi  kwa wajawazito na  watoto vimepungua mkoani Kigoma kutokana na kuanzishwa na kutekelezwa kwa mpango mkakati wa huduma ya upasuaji katika vituo vya afya vijijini.

Mpango huo umewezesha wanawake wengi wajawazitio kuondokana na adha ya kusafirishwa umbali mrefu kufuata huduma hiyo pindi inapohitajika katika hospatali za wilaya ama mkoa.

Kwa mujibu wa taarifa za Afya mkoani Kigoma, wanawake 62 walipoteza maisha mwaka 2014 kutokana na matatizo ya uzazi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kuzaliana kwa wingi huongeza vifo kwa wajawazito

Hivi karibuni dunia iliadhimisha Siku ya Utepe Mweupe na Uzazi Salama, ambayo iliambatana na kaulimbiu ya, ‘Wajibika Mama Aishi’.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vifo vya watoto, wajawazito vitazamwe kwa jicho la tatu

KUTOKANA na matatizo yanayoikabili sekta ya afya ikiwemo huduma zote stahiki kwa mjamzito, watoto walio chini ya miaka mitano na wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 ni wakati muafaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yapongezwa kwa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto

IMG_00511

Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.

Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Malaria: vifo vyapungua kwa 50%

Jitihada za kupambana na malaria zimefanikiwa kupunguza idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa huo kwa kiasi cha asilimia hamsini.

 

9 years ago

MillardAyo

Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu…

Makamu wa rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, headlines zake zinaendelea kunifikia mtu wangu, naomba ukutane na maneno yake najua utatoka na kitu…leo ni kuhusu wakina mama wajawazito kupoteza maisha wakati wa kujifungua. ‘Tanzania tumepiga hatua kubwa kwenye malengo ya Millenia lakini tumeshindwa kwenye vifo vya wakina mama wajawazito, tumepiga hatua kubwa kwa watoto […]

The post Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu… appeared first on...

 

11 years ago

BBCSwahili

Malaria: Matumaini ya kupatikana kinga

Kundi la watoto nchini Tanzania wenye kinga asilia ya malaria wanawasaidia wanasayansi kutengeneza kinga mpya ya ugonjwa huo .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani