Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu…
Makamu wa rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, headlines zake zinaendelea kunifikia mtu wangu, naomba ukutane na maneno yake najua utatoka na kitu…leo ni kuhusu wakina mama wajawazito kupoteza maisha wakati wa kujifungua. ‘Tanzania tumepiga hatua kubwa kwenye malengo ya Millenia lakini tumeshindwa kwenye vifo vya wakina mama wajawazito, tumepiga hatua kubwa kwa watoto […]
The post Vifo vya wajawazito vimemgusa Mama Samia, ana haya mawili kwa wataalamu… appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UssxI0Cvnds/Xl1i3Do3ZgI/AAAAAAALgdo/jocZjqv68wMjdrWI-DepgGrF0tbXyu0QQCLcBGAsYHQ/s72-c/6e821ca6-0000-45ab-9998-1f6f0231cebe.jpg)
WATAALAMU WA KUTOA DAWA ZA USINGIZI KUPUNGUZA VIFO VYA KINA MAMA WAJAWAZITO WAKATI WA UPASUAJI
Dkt. Manyata ameyasema leo wakati akifungua mafunzo elekezi ya utoaji dawa za usingizi salama wakati wa upasuaji kwa kina mama wajawazito yanayofanyika jijini Mbeya kwa siku tatu na kushirikisha wataalamu...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
Vifo vya watoto, wajawazito vitazamwe kwa jicho la tatu
KUTOKANA na matatizo yanayoikabili sekta ya afya ikiwemo huduma zote stahiki kwa mjamzito, watoto walio chini ya miaka mitano na wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 ni wakati muafaka...
10 years ago
Dewji Blog30 Jun
Tanzania yapongezwa kwa kupunguza vifo vya wajawazito na watoto
Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk. Jama Gulaid, akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.
![Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania. Mkutano huo unafanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_01041.jpg)
Mwakilishi kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Vizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Mushi (wa kwanza kulia) aliyemwakilishi Dk Donan Mmbando akizungumza na washiriki wa Mkutano...
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Vifo vya wajawazito vyaweza kuzuilika
10 years ago
Habarileo20 Jun
Sababu vifo vya wajawazito zatajwa
UKOSEFU wa nyumba za watumishi katika Sekta ya Afya hasa maeneo yenye miundombinu duni ya usafiri kunakofanya watumishi kushindwa kukaa katika maeneo hayo, kumetajwa kuwa ni moja ya mambo yanayochangia kuongeza vifo vya wajawazito na watoto.
10 years ago
Habarileo17 Mar
‘Vifo vya wajawazito ni msiba usiokubalika’
MWENYEKITI wa Bodi wa Muungano wa Utepe Mweupe na Uzazi Salama Tanzania (WRATZ), Craig Ferla amesema vifo 95,000 vya wajawazito na watoto wachanga, vinavyotokea kila mwaka nchini ni msiba mkubwa usiokubalika, ambao taifa linahitaji kutafakari kwa kina kuvitokomeza.
10 years ago
Habarileo14 Feb
Zanzibar kupunguza vifo vya wajawazito
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema suala la kuimarisha maisha ya jamii na kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito na watoto wachanga ni miongoni mwa masuala muhimu.
9 years ago
Habarileo05 Jan
Hospitali Mbeya yapunguza vifo vya wajawazito
HOSPITALI ya Rufaa Kanda ya Mbeya imefanikiwa kupunguza vifo vya wajawazito kutoka sita hadi saba kwa mwezi, katika kipindi cha mwaka 2008 na 2012 na kufikia vifo viwili hadi vinne kati ya mwaka 2012 hadi mwaka jana.
10 years ago
Habarileo28 Oct
Wanaume wadaiwa kuchangia vifo vya wajawazito
BAADHI ya vifo vya wajawazito vimebainika chanzo chake kuwa kwenye jamii hususani vijijini, kutokana na baadhi ya wanaume ama kuwatelekeza au kutowajali wawapo katika hali hiyo.