Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDALIZI YA SABASABA YAENDELEA JIJINI DAR

Magari yakitoa vifusi ili kuweka mazingira safi.   Mmoja wa wafungwa akipaka rangi katika eneo lao. Hata fundi ujenzi huyu naye amepata ajira.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

PPF yaendelea kung’aa kwenye maonyesho ya Sabasaba, Jijini Dar

unnamed

Afisa Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba.

unnamed (1)

 Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa pamoja mara baada ya wateja waliofika kwenye dawati lao katika maonyesho...

 

11 years ago

GPL

PPF YAENDELEA KUNG'AA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

 Ofisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba.
 Ofisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Ofisa Rasirimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya maadhimisho ya miaka 37 CCM yaendelea vizuri jijini Mbeya

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Sokoine ,ambapo alisema maandalizi yote yamekamilika ,majukwaa yamekamilika, uwanja umerekebishwa vizuri na vijana wa Halaiki wamejiandaa vya kutosha tayari kwa sherehe ya kuzaliwa kwa CCM tarehe 2 Februari. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki hatua za mwisho za maandalizi ya mahala ambapo maandamano yatahitimishwa. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

PPF YAENDELEA KUKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA JIJI LA DAR WALIOTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

 Afisa uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi Grace Balele akirufahia jambo pamoja na wateja waliofika katika Banda la PPF kwenye Maonyesho ya Sabasaba leo kwaajili ya kujipatia huduma mbalimbali zitolewazo na mfuko huo wa Pensheni  Afisa Mafao wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Hellen Mollel  akimsikiliza kwa umakini wa hali ya juu mmoja wa wateja waliofika katika banda la PPF kwenye maonyesho ya sabasaba leo tarehe 7-7-2014 kwaajili ya kutaka kufahamu huduma mbalimbali zinazotolewa na...

 

11 years ago

Michuzi

Mashindano ya Heineken foosball yaendelea jijini Dar

Wachezaji wa timu ya Techno wakiongozwa na kapteni wao Geoffrey Dominic (kulia) na Augustine Alex wakishangilia ushindi wao, wakiwa pia na zawadi Kutoka Heineken. Washindi hawa walishinda michuano ya foosball pale Kisuma Temeke. Washindi hao wameingia robo finali ya kuwania nafasi ya kwenda Ibiza Spain kuangalia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league. Mtanange ukiendelea. Mwakilishi wa kampuni inayoratibu mecho wa foosball kwa naiba ya Heineken Tanzania, Jack Juma ...

 

11 years ago

Michuzi

Taswira mbalimbali katika maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam leo

 Banda la Umoja wa Mataifa katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Kijana majasiriamali akionesha kazi zake kwa waliotembelea banda la Umoja wa Mataifa kwenye Maonesho ya SabaSaba. Yeye ni mmoja kati ya vijana wengi wanaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali kufuatia mpango wa Umoja huo wa kuendeleza watoto, vijana na kinamama  Mkurugenzi wa mipango na mahusiano wa TIB Development Bank Bw. Jaffer S. Machano (mwenye miwani) akiwa na wafanyakazi wenzie wa benki...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ILIVYOKUWA LEO KATIKA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR

Katibu wa Matimila- Agri Marketing Services, Innocent Tindwa (kushoto) akishikilia  vitabu vya Eric Shigongo pamoja na mfanyakazi mwenzake kwenye Banda la Shigongo lililopo viwanja vya Sabasaba. Wananchi wakikaguliwa na askari kwa vifaa maalum. Umati wa watu uliofurika viwanjani hapo.igongo.…

 

11 years ago

GPL

YANGA YAENDELEA NA MAZOEZI AGA KHAN JIJINI DAR

Wachezaji wa Yanga wakisikiliza maelekezo kutoka kwa kocha Maximo (hayupo pichani) kwenye mazozi ya timu hiyo yaliyofanyika leo asubuhi kwenye Ufukwe wa Aga Khan . Wachezaji Yanga wakijifua kwa mazoezi makali.…

 

9 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MPYA DK. MAGUFULI YAPAMBA MOTO JIJINI DAR

 Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Askari wa Jeshi la Wananchi akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani