MABADILIKO YA TAREHE YA KONGAMANO LA NNE LA KITAIFA LA MAKATIBU MUHTASI
![](http://2.bp.blogspot.com/--KLsvsHKJgo/U4iPjKADZjI/AAAAAAAFmfw/jq88QTPnP60/s72-c/New+Picture.png)
MWENYEKITI PAMOJA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAMA CHA MAKATIBU MUHTASI TANZANIA (TAPSEA) – TUNAPENDA KUWAJULISHA WANACHAMA NA WADAU WOTE KUWA KUTOKANA NA SABABU AMBAZO ZIKO JUU YA UWEZO WETU TAREHE YA KONGAMANO IMEBADILIKA.
KONGAMANO HILO SASA LITAFANYIKA TAREHE 10 – 12 JULY, 2014 KATIKA UFUKWE WA MALAIKA – JIJINI MWANZA.
GHARAMA ZA USHIRIKI NI SHILINGI 300,000/=(LAKI TATU TU) KWA MWANACHAMA NA SHILINGI 350,000/= (LAKI TATU NA NUSU) KWA ASIYE MWANACHAMA. LIPA KUPITIA AKAUNTI...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qwpha1wSMKs/U7-drvzwA8I/AAAAAAAF04E/1kpWscTh-Iw/s72-c/1.jpg)
Mary Nagu Mgeni rasmi kongamano la nne la kitaifa la makatibu muhtasi tanzania jijini mwanza leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-qwpha1wSMKs/U7-drvzwA8I/AAAAAAAF04E/1kpWscTh-Iw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-1d-_m_24l7Y/U7-drp4K2bI/AAAAAAAF04I/jAO3qSWj9Hs/s1600/2.jpg)
11 years ago
Dewji Blog11 Jul
Mary Nagu mgeni rasmi Kongamano la nne la Kitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania leo jijini Mwanza
Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA wakati alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza.
Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-qwpha1wSMKs/U7-drvzwA8I/AAAAAAAF04E/1kpWscTh-Iw/s1600/1.jpg)
MARY NAGU MGENI RASMI KONGAMANO LA NNE LA KITAIFA LA MAKATIBU MUHTASI TANZANIA LEO JIJINI MWANZA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ATpc4gM9bv0/U7_ytuPxMFI/AAAAAAAF1H8/h7n2mPrDn9E/s72-c/28.jpg)
KONGAMANO LA NNE LA MAKATIBU MUHTASI TANZANIA (TAPSEA) LAFUNGULIWA LEO JIJINI MWANZA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ATpc4gM9bv0/U7_ytuPxMFI/AAAAAAAF1H8/h7n2mPrDn9E/s1600/28.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-tmcTBRImdNA/U7_8tevz5eI/AAAAAAAF1Mc/mlmMbd4ly-c/s1600/_7.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LDK2y1QJLrY/U7_zvJsZhFI/AAAAAAAF1KU/NP2gqhMyGX4/s1600/_2.jpg)
Mgeni Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi Tanzania na Mshauri wa Mambo ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-EDv75mYjbtA/VgBO4nLiFlI/AAAAAAAH6r4/ZH5GNXMDggs/s72-c/New%2BPicture.png)
SIKU YA TEMBO KITAIFA TAREHE 22.09.2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-EDv75mYjbtA/VgBO4nLiFlI/AAAAAAAH6r4/ZH5GNXMDggs/s1600/New%2BPicture.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-S6O0Ne4vkvs/VgBO-xL_czI/AAAAAAAH6sA/CtCUn0clGW0/s1600/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
Malengo ya kuadhimisha siku ya Tembo kitaifa...
10 years ago
Michuzi06 Jan
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Balozi Sefue afungua mkutano wa mwaka wa makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu leo mjini Dodoma
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa kufungua mkutano wa faragha wa mwaka cha makatibu wakuu, makatibu tawala wa mikoa na naibu makatibu wakuu mapema leo mjini Dodoma. Kaulimbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “Nafasi na Wajibu wa Watendaji wa Wakuu wa Serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na Kuingia Madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.”
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Chiku Gallawa akizungumza kumkaribisha mkoani Dodoma Katibu Mkuu Kiongozi, Makatibu Wakuu,...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA
![](http://1.bp.blogspot.com/-3z-sGvrcsy8/Va-A_rKCHYI/AAAAAAAHrA4/a-65g-ZwCHY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yH5rTfyjFA8/Va-A_XtUkII/AAAAAAAHrA0/Vdfh-sdz7hg/s640/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Aug