Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKU YA TEMBO KITAIFA TAREHE 22.09.2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MALIASILI NA UTALII                                    TAARIFA KWA UMMAWizara ya Maliasili na Utalii ikishirikiana na Shirika la Uhifadhi Duniani WWF ofisi ya Tanzania  kwa pamoja wanaadhimisha siku ya tembo kitaifa mwaka huu tarehe 22/9/2015,  kwa kujadili na wadau mbali mbali kuhusu kumuokoa mnyama Tembo kupitia vyombo vya habari hapa nchini. Kauli Mbiu ni ‘Wakati wa kuhifadhi tembo waliosalia ni sasa’
Malengo ya kuadhimisha siku ya Tembo kitaifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza
Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari  Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia  tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa  kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza  Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL  LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...

 

9 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI MWAKA 2015 KUFANYIKA KITAIFA DESEMBA MOSI MKOANI SINGIDA


Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk.Fatma Mrisho (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka 2015 yatakayofanyika kitaifa Desemba Mosi mkoani Singida. Kulia ni Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi.

Na Dotto Mwaibale
 MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi nchini yameongezeka kwenye kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 19 mpaka 24 tofauti na ilivyokuwa miaka minne...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MAHENGE ATOA TAMKO LA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, TAREHE 5 JUNI 2015

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe. Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge akitoa tamko kuhusu wiki ya mzingira kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge amesema Tarehe 5 Juni ya kila mwaka watanzania tunaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Kitaifa Maadhimisho haya yataadhimishwa katika viwanja vya...

 

9 years ago

Michuzi

UTARATIBU WA KUSHIRIKI ZOEZI LA KUFANYA USAFI SIKU YA TAREHE 9 DISEMBA, 2015 MKOA WA DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alitoa agizo la kumtaka kila mtu kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya Uhuru tarehe 9 Disemba, 2015 kwa kushiriki zoezi la kufanya usafi wa mazingira. Katika Mkoa wa Dodoma, zoezi hilo litahusisha kazi za usafi wa makazi na maeneo ya shughuli mbalimbali, kufagia barabara za lami na vumbi, kufyeka nyasi kandokando mwa barabara na katika maeneo ya wazi na jamii, kuokota  takataka  (mifuko ya Rambo) na kuzibua mitaro ya maji ya...

 

10 years ago

Michuzi

RATIBA YA KUAGA RASMI NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD MAX, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27 JUNI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA MAKABURI YA KINONDONI

_________MAREHEMU DONALD MAX___________

NA.

MUDA

TUKIO

MHUSIKA

MAHALI

1.

12:00 - 02:00

Familia kuandaa Mwili wa Marehemu

Familia

Nyumbani

2.

02:00 - 04:00

Taratibu za Kimila

Familia

Nyumbani

3.

04:00 - 05:00

Chai/Chakula

Familia

Nyumbani

4.

04:00 - 05:00

§  Waombolezaji kuwasili katika Viwanja vya Karimjee

Katibu wa Bunge

Karimjee



§  Viongozi wa Vyama vya Siasa,  Waheshimiwa wa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika Nafasi zao

...

 

9 years ago

Michuzi

MHE.BALOZI WILSON M. MASILINGI ATEMBELEA KITENGO CHA VISA KATIKA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON D.C, SIKU YA KUMBUKUMBU YA UHURU, TAREHE 9 DISEMBA, 2015

Katika kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Ubalozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington D.C umeendelea kufanya kazi na kutoa huduma za Visa na Pasipoti kama sehemu ya maadhimisho ya sikukuu hiyo.  Pamoja na kazi zingine za Ubalozi kuendelea kama kawaida, Mhe. Balozi Wilson M.Masilingi alitembelea kitengo cha Visa na huduma za Uhamiaji na kufanya mazungumzo mafupi na Mkuu wa Kitengo hicho Bw. Abbas A. Missana, Afisa...

 

11 years ago

Michuzi

MABADILIKO YA TAREHE YA KONGAMANO LA NNE LA KITAIFA LA MAKATIBU MUHTASI

MWENYEKITI PAMOJA NA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAMA CHA  MAKATIBU MUHTASI TANZANIA  (TAPSEA) – TUNAPENDA KUWAJULISHA WANACHAMA NA WADAU WOTE KUWA  KUTOKANA NA SABABU AMBAZO ZIKO JUU YA UWEZO WETU TAREHE YA KONGAMANO IMEBADILIKA.  
KONGAMANO HILO SASA LITAFANYIKA TAREHE 10 – 12  JULY,  2014 KATIKA UFUKWE WA MALAIKA –  JIJINI MWANZA.
GHARAMA ZA USHIRIKI NI SHILINGI 300,000/=(LAKI TATU TU) KWA MWANACHAMA NA SHILINGI 350,000/= (LAKI TATU NA NUSU) KWA ASIYE MWANACHAMA.  LIPA KUPITIA AKAUNTI...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani