Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAASISI YA SARATANI YAANDAA MATEMBEZI YA HISANI SIKU YA TAREHE 10 OKTOBA 2015

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yaanda matembezi ya hisani Oct 12

Taasisi ya saratani Ocean Road na Kunduchi Beach Resort wameandaa matembezi ya hisani kwaajili ya saratani ya matiti Jumapili 12/10/14 saa 1.30 hadi saa 5 asubuhi. Matembezi yataanzia na kumalizikia Kunduchi Beach Resort. Mgeni rasmi ni mke wa rais, Mama Malma Kikwete. Kushiriki ni bure. tujitokeze kwa wingi kuunga mkono mapambano dhidi ya saratani ya […]

 

10 years ago

Michuzi

Imetosha Movement Kufanya Matembezi makubwa ya Hisani Machi 28, 2015 leaders club dar eas salaam

Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Bi Monica Mara, mmoja wa marafiki wa 'Imetosha Movement'Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.
  Na Mwandishi Wetu 
  ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAANDAA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kwa watumishi wa serikali na taasisi zake iliyofanyika jana Agosti 29, 2014 mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Constatina Martin Meneja Masoko, na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Constatina Martin, akizungumza kwenye semina ya siku moja ya watumishi wa serikali na taasisi zake iliyoandaliwa na Mduko huo mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani, Ijumaa Agosti 29, 2014.

 

10 years ago

GPL

IMETOSHA MOVEMENT KUFANYA MATEMBEZI YA HISANI

Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni. Na Mwandishi Wetu ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi makubwa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Imetosha Movement Kufanya Matembezi Hisani Machi 28

Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.
Na Mwandishi Wetu ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi makubwa ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendelea kutoa elimu kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Imetosha Movement kufanya matembezi ya hisani Machi 28

IMG_0831

Balozi wa Kujitolea wa Harakati za ‘Imetosha Movement’, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya ‘Imetosha Movement’ na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.

Na Mwandishi Wetu

ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi makubwa ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendelea kutoa elimu kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe Aongoza Matembezi ya Hisani Dar es Salaam

Matembezi ya hisani yaliyoanzia Parokia ya Mtakatifu Maximilian Kolbe Mwenge yakielekea Parokia ya Sinza kupitia barabara ya Shekilango. Matembezi hayo ya kilomita mbili yaliongozwa na Mhe. Membe.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb.) (wa pili kushoto mstari wa mbele) akishiriki matembezi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokovu ya Kanisa Katoliki Sinza, Dar es Salaam mapema leo asubuhi..Wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani