Waziri Membe Aongoza Matembezi ya Hisani Dar es Salaam
Matembezi ya hisani yaliyoanzia Parokia ya Mtakatifu Maximilian Kolbe Mwenge yakielekea Parokia ya Sinza kupitia barabara ya Shekilango. Matembezi hayo ya kilomita mbili yaliongozwa na Mhe. Membe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb.) (wa pili kushoto mstari wa mbele) akishiriki matembezi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokovu ya Kanisa Katoliki Sinza, Dar es Salaam mapema leo asubuhi..Wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi17 Mar
Imetosha Movement Kufanya Matembezi makubwa ya Hisani Machi 28, 2015 leaders club dar eas salaam
![Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0831.jpg)
![Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0855.jpg)
Na Mwandishi Wetu
ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-FqoULnYk0Ys/VQ1_1u10KEI/AAAAAAAHL-I/fnjjBfLhchE/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI MATEMBEZI YA HISANI YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA LA KIGANGO CHA MT. DOMINIC SAVIO TEMEKE MIKOROSHINI, DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-FqoULnYk0Ys/VQ1_1u10KEI/AAAAAAAHL-I/fnjjBfLhchE/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-l8HtxfpOSQA/VQ1_1epqo3I/AAAAAAAHL-Y/wpI9GEQ1S-Q/s1600/1B.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-WUxdss2co5Q/VQ1_2tZLpII/AAAAAAAHL-Q/YnKFWO2wgzs/s1600/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-G2yKLXk4GLw/VQ3B0XCmueI/AAAAAAAArBI/0-3Y5u9YItI/s72-c/tmp_30785-IMG-20150321-WA00721158291901.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Dkt. Bilal ashiriki matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio Temeke Mikoroshini, Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na mwakilishi wa Askofu Titus...
11 years ago
MichuziWAZIRI LAZARO NYALANDU AONGOZA MATEMBEZI YA KUPIGA VITA UJANGILI WA TEMBO.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Hj55z8hMSqg/VUBtVS-Jh7I/AAAAAAABfRA/SmAs9obS6cE/s72-c/mi%2B(1).jpg)
WAZIRI WA MEMBE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-Hj55z8hMSqg/VUBtVS-Jh7I/AAAAAAABfRA/SmAs9obS6cE/s1600/mi%2B(1).jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0831.jpg?width=650)
IMETOSHA MOVEMENT KUFANYA MATEMBEZI YA HISANI
10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Imetosha Movement kufanya matembezi ya hisani Machi 28
Balozi wa Kujitolea wa Harakati za ‘Imetosha Movement’, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.
![Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0855.jpg)
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya ‘Imetosha Movement’ na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.
Na Mwandishi Wetu
ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi makubwa ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendelea kutoa elimu kwa...
10 years ago
Vijimambo17 Mar
Imetosha Movement Kufanya Matembezi Hisani Machi 28
![Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0831.jpg)
![Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0855.jpg)
Na Mwandishi Wetu ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi makubwa ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendelea kutoa elimu kwa...