Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya Saratani ya Ocean Road yaanda matembezi ya hisani Oct 12

Taasisi ya saratani Ocean Road na Kunduchi Beach Resort wameandaa matembezi ya hisani kwaajili ya saratani ya matiti Jumapili 12/10/14 saa 1.30 hadi saa 5 asubuhi. Matembezi yataanzia na kumalizikia Kunduchi Beach Resort. Mgeni rasmi ni mke wa rais, Mama Malma Kikwete. Kushiriki ni bure. tujitokeze kwa wingi kuunga mkono mapambano dhidi ya saratani ya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mhe. Ummy Mwalimu azindua Bodi Mpya ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (katikati) akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Bwana Diwan Msemo (kushoto) mara alipowasili katika Hospitali ya Saratani ya Ocean Road ya Jijini Dar es Salaam kwenye Uzinduzi wa Bodi ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road uliofanyika leo 17 Desemba, 2015. Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Bwana Diwan Msemo (aliyevaa suti) akimpeleka Waziri wa Afya,...

 

10 years ago

Michuzi

Tendo la hisani la Wapendelevu’89 kwa Ocean Road Cancer Institute

 Wapendelevu’89 ( WaP89) ni kikundi cha Wanawake waliomaliza Kidato cha sita Mwaka 1989 katika Shule ya Wasichana Weruweru. Kikundi hiki kinaundwa na wanachama 44 ambao wanajishughulisha na ujenzi wa Taifa katika Nyanja mbalimbali wakiwamo madaktari, wahasibu, wahadhiri, wachumi, walimu/wahadhiri na wafamasia.
Kutokana na kuwa kwao sehemu ya Jamii , na kuona ombwe lililopo katika sehemu mbalimbali na hasa katika huduma za jamii na pia kuthamini uwajibikaji wa pamoja, kikundi kiliona ni vema...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaowahi Ocean Road hupona saratani

SERIKALI imesema kuwa asilimia 20 ya wagonjwa wa saratani, wanaofika mapema katika Taasisi ya Ocean Road, wanatibiwa na kupona.

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA 50 PLUS CAMPAIGN WATEMBELEA WAGOJWA WA SARATANI WALIOLAZWA HOSPITAL YA OCEAN ROAD

Mgeni rasma ambaye ni DR kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana DR. Natalius Kapilima akikata utepe kuashilia kugawa zawadi mbalimbali kwa wagojwa wa saratani waliolazwa katika hospital ya ocean road wengine kushoto ni Mkurugenzi wa TTCF. Lutgard Kagaruki na wa tatu kulia ni Mratibu wa kampeni ya manusura wa saratani ya Tezi Dume na Mwanzilishi wa Tanzania 50 Plus Campagn Dr Emanuel KandusiDR kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana DR. Natalius Kapilima kulia akimkabizi zawadi mgojwa wa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AMSIMAMISHA KAZI KAIMU MKURUGENZI WA TAASISI YA OCEAN ROAD DK.DIWAN MSEMO.


Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWAZIRI wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk.Diwani Msemo ili kupisha uchunguzi pamoja na mambo mengine ili kubaini  mgongano wa kimaslahi ulioathiri utendaji wa taasisi  hiyo chini ya kaimu mkurugenzi huyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

10 years ago

GPL

IMETOSHA MOVEMENT KUFANYA MATEMBEZI YA HISANI

Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni. Na Mwandishi Wetu ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi makubwa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hoteli ya Giraffe Ocean View yaanda chakula cha mchana kwa watoto yatima na kuwakabidhi zawadi za X-Mass

giraffe 5

Watoto wanaolelewa katika Kitu cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, wakiwasili katika eneo la Hoteli ya Giraffe Ocean View, Dar es Salaam juzi baada ya kualikwa kwa ajili ya kupewa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi pamoja na chakula cha mchana. (Na Mpigapicha Wetu).

giraffe 3

Watoto wa Kituo cha Yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, Dar es Salaam, wakijihudumiwa chakula  cha mchana juzi kilichoandaliwa na Hoteli ya Giraffe Ocean View iliyopo jijini ambapo pia walipewa zawadi ya mbuzi, mchele na...

 

10 years ago

Vijimambo

Imetosha Movement Kufanya Matembezi Hisani Machi 28

Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Balozi wa Kujitolea wa Harakati za 'Imetosha Movement', Henry Mdimu (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni. Baadhi ya wajumbe wa kamati ya taasisi ya 'Imetosha Movement' na viongozi wakizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni.
Na Mwandishi Wetu ASASI ya Harakati za Imetosha ilioanzishwa kupinga mauaji na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watu wenye u-albino inatarajiwa kufanya matembezi makubwa ya hisani kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendelea kutoa elimu kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani