Mabalozi India,Ubelgiji na Sweden wamuaga Rais Kikwete ikulu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ameagana na mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania baada ya kumaliza muda wao wa kazi .
Mabalozi walioagana na Rais leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe.Debnath Shaw wa India,Balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji na balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Jul
RAIS JAKAYA KIKWETE AAGANA NA MABALOZI KUTOKA INDIA, UBELGIJI NA SWEDEN WALIOMALIZA MUDA WAO WA KAZI NCHINI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ameagana na mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania baada ya kumaliza muda wao wa kazi . Mabalozi walioagana na Rais leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe.Debnath Shaw wa India,Balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji na balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden.

10 years ago
Michuzi
JK aagana na Mabalozi waliomaliza muda wao wa India,Ubelgiji na Sweden Ikulu jijini Dar es salaam


10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WAPYA WA FINLAND NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Septemba 9, 2015


9 years ago
Michuzi
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WA MALAWI NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO



10 years ago
MichuziRAIS NA WAZIRI MKUU WA INDIA WAMPOKEA RASMI RAIS KIKWETE IKULU YA INDIA
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA USWISI NA UTURUKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


