Mabao ya Bale yainusuru Wales
Mkwaju wa adhabu uliopigwa katika dakika ya mwisho na Gareth Bale uliipa Wales ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Andorra, katika mchezo wa michuano ya kuwania tiketi ya kucheza fainali zijazo za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
10 years ago
TheCitizen30 Mar
Wales top group as Bale wreaks havoc in Israel
Gareth Bale scored a second-half brace as Wales romped to a 3-0 win in Israel on Saturday evening that took them to the top of Euro 2016 qualifying Group B.
9 years ago
Bongo504 Sep
Gareth Bale aifungia Wales goli muhimu katika michuano ya Ulaya
Timu ya taifa ya Wales huenda ikawa imechungulia kufuzu kucheza michuano ya mataifa ya Ulaya baada ya kushindwa kufuzu kwa takribani miaka 57 iliyopita. Hii ni baada ya kupata ushindi wa dakika za lala salama wa goli 1-0 wakati ikicheza na Cyprus jana kwenye mechi ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Ulaya mwaka 2016. Shujaa […]
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Benki ya Dunia yainusuru reli ya kati
Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kati ya Afrika Mashariki umeongezewa nguvu ya kifedha baada ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia (WB) kupitisha kiasi cha Dola300 milioni za Marekani (Sh490 bilioni) kugharimia sehemu ya reli hiyo.
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/15336/production/_86183868_gettyimages-493069080.jpg)
South Africa 23-19 Wales
The Springboks advance to the semi-finals of the Rugby World Cup after a breathless victory over Wales at Twickenham.
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Walimu wagoma Uingereza na Wales
Maelfu ya watoto nchini Uingereza na Wales, wanakabiliwa na tisho la kukosa elimu huku walimu wao wakigoma.
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Coleman: Wales wafaa “kutekwa na furaha”
Meneja wa Wales Chris Coleman amewahimiza mashabiki “watekwe na furaha ya ufanisi†baada ya timu ya taifa hilo kulaza Cyprus 1-0.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/3264.jpg?width=650)
TSUNAMI LAIKUMBA NEW SOUTH WALES, AUSTRALIA
Mawimbi ya bahari yakikutana. Wingu zito ndani ya Uwanja wa Allianz Ndege ya Qantas Boeing 737-800 ikisafiri juu ya wingu zito kuelekea New South Wales huku mvua kubwa ikinyesha. Watalii wakitazama mawimbi hayo. Usafiri wa boti ukisuasua…
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
England kundi moja na Wales Euro 2016
England wamewekwa kwenye kundi moja na Wales kwenye michuano ya taifa bingwa Ulaya itakayoandaliwa Ufaransa mwaka ujao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania