Machinga wapinga Manispaa kumpa bustani mfanyabiashara
WAFANYABIASHARA wadogo zaidi ya 100 wanapinga uamuzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, kutoa kibali kwa mfanyabiashara wa vyakula na vinywaji, kuendesha biashara hiyo katika bustani ya manispaa ya Iringa. Mwaka 2006 halmashauri hiyo iliondoa zaidi ya wafanyabiashara 200, waliokuwa wakifanya biashara katika bustani hiyo na katika barabara inayotenganisha bustani hiyo na hospitali ya mkoa wa Iringa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex
WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...
9 years ago
Habarileo10 Dec
TPC kuanzisha bustani ya wanyama
MENEJIMENTI ya kiwanda cha uzalishaji sukari cha TPC Ltd wilayani Moshi imeiomba serikali kuwapunguzia tozo ya wanyamapori ili waweze kuanzisha bustani ya wanyama ndani ya ardhi ya kiwanda hicho kama sehemu ya kukuza utalii.
10 years ago
GPLMUONEKANO WA BUSTANI ZA BARABARANI DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLTsqM2s7r4rfRubV9rwF-5V77iTRH2Xqi3omvyvUwe88uPlqhIsx33Dqcp3bDRBrW0cZJB2ADuR8eI4vvkrUuKY/Photo1.jpg)
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA JERRY SILAA AWAAGA WATUMISHI SITA WA AFYA WA MANISPAA HIYO WANAOENDA KUONGEZA UJUZI KOREA KUSINI
11 years ago
Habarileo05 Jul
Zanlik yatoa huduma bure Bustani ya Haile Selasie
KAMPUNI ya Mawasiliano ya mtandao wa intaneti ya Zanlik imeanza kutoa huduma bure za kujisomea kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika eneo la bustani mbele ya Shule ya Sekondari ya Haile Selasie mjini hapa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOaDQDTRoviTMSsTo*pilfOBxw-IGYzIilmC7d4HXyge9S*R14dXgJhR5TbBBWyhpnFrpi0jN*N*LOG6RpIxUJ87/2.jpg?width=650)
MSIBA WA MTUNZA BUSTANI MKUU WA IKULU MAREHEMU RASHIDI CHILANGWA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dtl8eGePPFQ/U2QPpM6CiOI/AAAAAAAFe9Y/8CM_W4WLu74/s72-c/IMG_6188.jpg)
msiba wa mtunza bustani mkuu wa Ikulu marehemu Rashidi Chilangwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-dtl8eGePPFQ/U2QPpM6CiOI/AAAAAAAFe9Y/8CM_W4WLu74/s1600/IMG_6188.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-S7bJN2l290M/U2QP3lA_HTI/AAAAAAAFe9o/wGD6-CoMwkc/s1600/IMG_6133.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ua36zfSayz0/U2QP3xEvzoI/AAAAAAAFe9s/09ihM8y-iOQ/s1600/IMG_6137.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-fVh5cqm3TT4/U2QP5kG3EcI/AAAAAAAFe94/JCVroewSJEk/s1600/IMG_6140.jpg)
10 years ago
Michuzi14 Dec
WWF YAMWAGA VIFAA VYA BUSTANI KWA SHULE ZA MUFINDI
![](https://3.bp.blogspot.com/-6qt44Ve6_ls/VI1qlqI3nSI/AAAAAAAADS4/xpeXSI9diPc/s1600/demo.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-7VlPXjXwwlU/VI1qmPYUj7I/AAAAAAAADTA/NhVtgzUn7uo/s1600/makabidhiana.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-7FqqoLfwESg/VI1qpGjXfPI/AAAAAAAADTQ/oV6twlX0kDs/s1600/wanafunzi.jpg)
Na Friday Simbaya, Mufindi
Shirika la Hifadhi ya Mazingira Duniani (WWF) kupitia Programu ya Maji Ruaha (RWP), mkoani Iringa limekabidhi vifaa kwa ajili ya kuanzisha...
11 years ago
Michuzi29 Jul