Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADABIDA AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA ILALA

  Baadhi  ya viongozi wa CCM wilaya ya Ilala wakiwa na mgeni rasmi  Alhaji Ramadhan Madabida.Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala ambao ni  wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi ya chama hicho Wilaya ya Ilala wakifuatilia baadhi ya hotuba zilizokuwa zikiwasilishwa katika mkutano huo.  Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.
 Mwenyekiti  wa ccm mkoa wa Dar Es Salaam  Ramadhan Madabida akiingia Ukumbini kufungua mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM taifa Abdallah Majura Bulembo akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho...

 

9 years ago

Michuzi

JK afungua Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM jijini Dar es salaam leo

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.Wajumbe wakishangilia wakati wa  ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM taifa Abdallah Majura...

 

9 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Wazazi (CCM), wilaya ya Ilala mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya awali ya St Andrew’s

Joseph Zablon
Ufisadi na vitendo vingine vya wizi na ubadhirifu wa mali za umma nchini unachangiwa kwa kiasi kikubwa na malezi mabaya wanayoyapata watoto toka ngazi ya familia na tatizo linakuwa kubwa zaidi anapoingia katika ajira.
Akizungumza wakati wa mahafali ya saba ya Shule za St. Andrew’s zilizopo Tabata Kisukuru, jijini Dar es Salaam juzi, Mwenyekiti wa Wazazi (CCM), wilaya ya Ilala, Meltus Magungu alisema tabia mbaya za majumbani iiwa ni pamoja na choyo uwa na athari mbaya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati wa ufunguzi semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari 22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo. Washiriki wa Semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI ABDALLAH BULEMBO AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

 Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake 
 Kikundi cha akina mama  kikitoa burudani
 Mwenyekiti  wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah  Bulembo akitoa kadi kwa mwanachama mpya wa CCM kata ya LUMEME kijiji cha KINGIRIKITI wilaya ya Nyasa, kwa wanachama 367 waliojiunga na chama hicho cha CCM

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif Afungua Mkutano wa 31 Jumuiya ya Serekali za Mitaa Tanzania.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiingia ndani ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere Jijini Dar es salaam kuufungua Mkutano wa 31 wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania kwa niaba ya Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda.Kulia yake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh. Hawa Abdulrahman Ghasia na aliyeko nyuma ya Balozi ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa ambae pia ni Meya wa Jiji la Dar es salaam Dr. Didas Massaburi.Balozi Seif...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akifungua rasmi Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Mei, 2015. Mkutano huo ambao ni maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa EAC utakaofanyika tarehe 31 Mei, 2015, pamoja na mambo mengine utapokea na kujadili taarifa zitakazowasilishwa na Jopo la Watu Maalum wanaofuatilia...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA JUMUIYA YA ISTIQAAMA DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jumuiya ya Istiqaama, uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo Feb 01, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Istiqaama, leo Feb 01, 2014. Baadhi ya Wanachama wa Jumuiya ya Istiqaama,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani