Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madaktari wanaswa tukio la viungo vya binadamu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu nane wakiwemo madaktari wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), wakihusishwa na tukio la kupatikana kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WATU NANE WAKAMATWA KWA TUKIO LA VIUNGO VYA BINADAMU JIJINI DAR.

  Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam,Suleiman Kova akizungumza na Vyombo vya habari mbalimbali mapema leo, makao makuu ya jeshi la polisi jijini Dar kuhusiana na sakata la viungo vya binadamu vilivyokamatwa jana INGIA HAPA KUONA TUKIO HILO.Kamanda Kova amesema kuwa watu wanane wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo.

Kamanda Kova amesema kuwa jopo la Wataalamu saba limeundwa kuchunguza tukio hilo na amethibitisha kuwa viungo vile vilikuwa ni vya maiti,ambavyo hutumika na...

 

11 years ago

GPL

VIUNGO VYA BINADAMU...

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
SAKATA  la kutupwa kwa viungo vya binadamu  lililofanywa na Chuo Kikuu cha Tiba cha Kimataifa cha IMTU kilichopo Mbezi jijini Dar,  linadaiwa kuikumba Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya tanuru linalotumika kuteketeza viungo vya binadamu kuharibika kwa miezi sita sasa. Fuvu la kichwa cha binadamu. Uchunguzi uliofanywa na timu ya Uwazi kwa muda wa siku kadhaa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Biashara ya viungo vya binadamu Brazil

Viongozi wa mashitaka wanachunguza madai kuwa viungo vya miili vinatolewa kwa miili ya watu wasiojulikana na kuuzwa kwa ajili ya utafiti wa kimatibabu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Viungo vya binadamu vyakutwa,Tanzania

Viungo mbali mbali vya binadamu vimekutwa katika eneo la kutupa taka la Bunju mjini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mtanzania

Kamati yaundwa kuchunguza viungo vya binadamu

mabaki ya miili ya watu

Wananchi wakiangalia mifuko yenye viungo mbalimbali vya binadamu vilivyokutwa katika Bonde la Mweni Mpiji wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Picha ndogo kushoto ni polisi wakipakia viungo hivyo. Picha zote na Deus Mhagale

Adam Malinda na Grace Shitundu, Dar es Salaam

SERIKALI imeunda kamati ya watu 15 kuchunguza chanzo cha tukio lililofanywa na Chuo cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU) la kutupwa mabaki ya viungo vya miili ya binadamu katika bonde la Mto Mpiji, lililopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siri zazidi kuvuja viungo vya binadamu

SIKU moja baada ya serikali kufunga Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU), kwa madai ya kuendeshwa kwa kukiuka taratibu za tiba, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa hatua...

 

11 years ago

GPL

VIUNGO VYA BINADAMU VYANASWA BUNJU, DAR

JESHI la Polisi Wilaya ya Kinondoni jijini Dar limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyowekwa kwenye mifuko ya plastiki na kuhifadhiwa katika machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura.…

 

10 years ago

Mtanzania

Sita wakamatwa kwa kuuza viungo vya binadamu

kamugishaNa Paul Kayanda, Kahama
JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewatia mbaroni watu sita wakiwa katika harakati za kuuza viungo vinavyosadikiwa kuwa vya binadamu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha, alisema watuhumiwa hao walikamatwa Mei 20 mwaka huu saa saba mchana wakiwa katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Mtaa wa Phantom, Kata ya Nyasubi wilayani hapa.

Alisema katika msako huo ulioendeshwa kwa...

 

11 years ago

GPL

MAZITO 10 YAIBUKA: VIUNGO VYA BINADAMU KUNASWA DAR!

Lile sekeseke la viungo vya binadamu kukutwa kwenye dampo jijini Dar es Salaam limechukua sura mpya huku mambo mazito 10 yakiibuliwa na gazeti makini na lenye heshima kubwa, Amani.Wingu zito lenye viulizo vingi lilitanda Bunju B, Kinondoni jijini Dar, usiku wa Julai 21, mwaka huu baada ya watu kubainika kwa mifuko maalum ya Rambo ikiwa na viungo mbalimbali vya miili ya binadamu vikiwa vimekauka. Kamanda wa Polisi, Kanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani