Maelfu waandamana kupinga vita Gaza
Maandamano makubwa yafanywa Afrika Kusini, Uingereza na Australia kupinga yanayotokea Gaza
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Maelfu waandamana kupinga utawala wa Zuma
Maelfu ya watu wameandamana katika miji mikuu ya Afrika Kusini wakitaka kutimuliwa kwa Rais Jacob Zuma.
9 years ago
BBCSwahili05 Dec
Maelfu waandamana kupinga mabadiliko Korea Kusini
Maelfu ya watu wameandamana leo nchini Korea Kusini kupinga mipango ya serikali ambayo wanasema itadhoofisha demokrasia.
9 years ago
BBCSwahili29 Aug
Maelfu waandamana Malaysia
Maelfu ya waandamaji wanaopinga serikali wamekusanyika katika nji mkuu wa Malaysia, wakitaka waziri mkuu Najib Razak ajiuzulu
10 years ago
BBCSwahili13 Dec
Maelfu waandamana Washington na New York
Maandamano makubwa yatarajiwa Marekani kupinga mauaji ya watu weusi yanayofanywa na polisi
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Maelfu waandamana Madrid kuiga Ugiriki
Wafuasi wa chama cha mrengo wa kushoto cha Uspania wapata nguvu baada ya Syriza kushinda Ugiriki
9 years ago
Mwananchi07 Sep
Wachimbaji waandamana kupinga unyanyasaji
Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (WanaApolo) 500 wa Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro, wameandamana kudai kupinga kitendo cha wawekezaji wa Kampuni ya TanzaniteOne kuteka migodi yao.
10 years ago
BBCSwahili07 Nov
Waandamana kupinga sera,Ubelgiji
Polisi mjini Belgian nchini Ubelgiji wamelazimika kutumia mabomu ya machozi na maji ili kuwatawanya waandamanaji wanaopinga sera
10 years ago
Habarileo18 Jan
Waandamana kupinga kuhamishwa eneo la CN
WAFANYABIASHARA wa daladala zinazofanya safari zake kati ya Bunda na Musoma, waendesha bodaboda na wajasiriamali wakiwemo mama lishe, juzi waliandamana na kwenda kwa Mkuu wa wilaya ya Bunda, wakipinga kitendo cha kuhamishwa eneo la CN, lililoko mjini Bunda wanakofanyia biashara yao.
9 years ago
BBCSwahili01 Nov
Waandamana kupinga mauaji Bangladesh
Mamia ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka, kupinga mashambulio yaliyofanywa jana dhidi ya mchapishaji
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania