Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAENDELEO NA MAGEUZI KATIKA UKAGUZI NA KAZI ZA KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI

View this document on Scribd

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA

TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA

View this document on Scribd

 

5 years ago

Michuzi

kamati ya hesabu za serikali za mitaa yakoshwa na miradi ya maendeleo Makambako

Na Amiri kilagalila,Njombe

Kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa LAAC imeridhishwa na hali ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe,na kuahidi kuongeza nguvu serikalini ili kusaidia ukamilishwaji wa ujenzi wa majengo ya makao makuu ya halmashauri hiyo.

Makamu mwenyekiti wa kamati ya LAAC Abdalah Chikota ambaye ni mbunge wa jimbo la Nanyamba amesema hali ya utekelezaji wa miradi katika halmashauri ya mji wa Makambako inaridhisha...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Mbunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Twaweza: Wananchi hawajui chochote kuhusu Ukaguzi Hesabu za Serikali

Wananchi wengi hawana uelewa wa kutosha juu ya taasisi za Serikali za ukaguzi wa hesabu na jinsi zinavyofanya kazi ya kusimamia fedha za Umma, utafiti uliofanywa na Twaweza umebainisha.

 

11 years ago

Michuzi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali awasilisha bungeni ripoti ya ukaguzi


Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari(hawako)pichani kuhusu mambo muhimu yaliyopo kwenye ripoti ya ukaguzi wa hesabu ya Mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 2013 kama ilivyo wasilishwa Bungeni Tarehe 7 Mei,2014. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akiwa katika picha ya pamoja na wataalam alioongozana nao. Sehemu ya vitabu vyenye ripoti hiyo. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

RATIBA -KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) JANUARI 2015

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)

RASIMU YA RATIBA YA UKAGUZI WA MIRADI NA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA UMMA KUANZIA TAREHE 05 HADI 24 JANUARI 2015,

MKOA WA MOROGORO NA OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM

View this document on Scribd

 

 


 

11 years ago

Michuzi

Kamati ya ya Bunge ya Hesabu za Serikali walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia

Waheshimiwa Wabunge Kamati ya Hesabu za Serikali walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia wakiwa na Balozi Dr. Aziz P. Mlima na Maafisa wa Ubalozi leo. Waheshimiwa wapo Malaysia kwa shughuli za kikazi na mafunzo, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa PAC ambaye pia ni Mbuneg wa Ludewa  Mhe Deo H. Filikunjombe

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani