MAFUNZO YA AWALI YA UASKARI MAGEREZA KOZI NA. 27 YAENDELEA VYEMA CHUONI KIWIRA, TUKUYU, MBEYA
Askari Wanafunzi(Recruits) wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza Kozi Na. 27 wakiendelea na masomo kwa vitendo katika Gwaride la silaha kama wanavyoonekana kikakamavu wakiwa na Walimu wao uwanjani huku silaha zao zikiwa begani. Askari Wanafunzi wa Mafunzo ya Uaskari Magereza Kozi Na. 27 wakiendelea na somo la Gwaride la Salaam ya Utii wakiwa na silaha kama inavyoonekana katika picha. Bango Kuu linaloonyesha unapoingia Chuo cha Mafunzo ya Uaskari Magereza kilichopo Kiwira, Mkoani Mbeya.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAFUNZO YA AWALI YA UASKARI MAGEREZA KOZI NA. 27 YAENDELEA VYEMA CHUO KIWIRA, MBEYA
10 years ago
MichuziSHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA JESHI LA MAGEREZA KOZI NA. 27 CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA ZAFANI, JIJINI MBEYA
9 years ago
Dewji Blog16 Aug
Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua rasmi mafunzo ya Uongozi daraja la kwanza Chuo cha Magereza Kiwira,Mbeya
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA, MKOANI MBEYA
10 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA BW.JOHN CASMIR MINJA AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMALIZA MAFUNZO YA UASKARI MAGEREZA NCHINI UGANDA
9 years ago
Michuziwatoto wa shule ya awali ya Genesisi wapata mafunzo ya awali ya kuzima moto
10 years ago
MichuziTANGAZO LA KUITWA CHUONI KWA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA MAGEREZA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
(Jeshi la Magereza)
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara, anawatangazia wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Jeshi la Magereza baada ya kufaulu mitihani ya usaili iliyofanyika kati ya tarehe 10 Desemba, 2014 hadi 17 Desemba, 2014 katika Bwalo Kuu la Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam pamoja na wale wa Kidato cha Nne na Sita waliosailiwa kutoka Kambi mbalimbali za JKT.
Wahusika wote wanatakiwa kuripoti...
10 years ago
VijimamboWATU 19 WAMEFARIKI KATIKA AJALI YA HIACE KIWIRA MBEYA