Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


watoto wa shule ya awali ya Genesisi wapata mafunzo ya awali ya kuzima moto

 Mkaguzi Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutoka Mkoa wa Zimamoto Ilala akielekeza watoto kutoka shule ya awali ya GENESIS waliotembelea kituoni hapo jana tarehe 12 Oct, 15 jinsi ya kutumia vazi la kujikinga na sumu pamoja na bacteria hatari.             Mkaguzi Msaidizi Idd Chanyika wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akielekeza watoto wa shule ya awali GENESIS jinsi ya kukabiliana na moto wa hatua ya awali, mafunzo yaliyofanyika katika kituo cha Zimamoto na Uokoaji Ilala...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA (GST) WAFANYA MAFUNZO YA AWALI

Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) yafanya mafunzo ya awali kwa baadhi ya waajiriwa wapya juu ya sheria , maadili , kanuni na taratibu za kazi kwa mtumishi wa Umma ,Pichani mbele ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa GST , Bi Augustine Rutaihwa , Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa GST , Bw . Gabriel Kasase na Bw. Rodney F. Matalis ambaye ni muwezeshaji wa mafunzo hayo kutoka Tume ya Usuluhishi na Upatanishi (CMA) kanda ya Kati - DODOMA.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanavyuo 4,124 wachukua mafunzo maalum ya Stashahada ya Elimu ya Awali

anne Na. Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA   IDADI ya wanachuo 4,124 wanachukua mafunzo maalum ya Stashaada ya Elimu ya Awali ya miaka 3 katika vyuo 19 vya Ualimu kuanzia mwaka 2014/2015, Serikali imeanzisha mafunzo haya ili kuweza kupata walimu mahiri na wa kutosha wa ngazi hiyo ya Elimu. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Anne Kilango (pichani) wakati akujibu swali la msingi la Mhe. Rosweeter Kasikila, Mbunge wa Viti Maalumu aliyetaka kujua mpango wa Serikali...

 

9 years ago

Dewji Blog

Askari 482 wa Jeshi la Zimamoto wahitimu mafunzo ya awali ya fani hiyo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbaraka Abdulwakili akikagua gwaride la askari wahitimu wa mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Jumla ya askari 482 wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamehitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyofanyika nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kimbiji.  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbaraka Abdulwakili akipokea heshima toka kwa askari...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya shule ya awali ya Ojays Kiddies Zone yafana

DSC_0401

Watoto wa shule ya Ojays Kiddies Zone iliyopo maeneo ya  Kinondoni Block 41, wakiwa kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kwa mahafali ya Kaka na Dada zao wa Laura Class kuanzia miaka 4-5 (T-shrits za kijani) yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Regency Park jijini Dar mwishoni mwa juma.

DSC_0406

We are happy to Graduate….! Wanafunzi wa Laura Class wakipata Ukodak.

DSC_0640

Mkurugenzi wa Shule yaawali ya  Ojays Kiddies Zone  iliyopo Kinondoni -Block 41, Bi. Debbie Ndulla akiwakaribisha...

 

10 years ago

Vijimambo

MAFUNZO YA AWALI YA UASKARI MAGEREZA KOZI NA. 27 YAENDELEA VYEMA CHUO KIWIRA, MBEYA

Bango Kuu linaloonyesha unapoingia Chuo cha Mafunzo ya Uaskari Magereza kilichopo Kiwira, Mkoani Mbeya.Askari Wanafunzi wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza wakiendelea na masomo ya Darasani. Katika Mafunzo hayo hujifunza masomo mbalimbali ikiwemo Utawala na Uendeshaji wa Magereza, Sheria zinazoongoza Jeshi la Magereza, Ustawi wa Jamii, Afya, Uraia na Utawala na UongoziAskari Wanafunzi(Recruits) wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza Kozi Na. 27 wakiendelea na masomo kwa vitendo katika...

 

11 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA AWALI KWA WATUMISHI WA HUDUMA ZA MKOBA WA UZAZI YAMALIZIKA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller (kushoto) akielezea jambo wakati akifunga mafunzo ya awali ya IT kwa watumishi wa huduma za MKOBA wa uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania.hafla hiyo ya ufungaji mafunzo ilifanyika 2 Agositi 2014 katika chuo cha CBE jijini Dar es Salaam, wakwanza kulia Mhadhiri Msaidizi (ICT), Godfrey Mwandosya, Mkuu wa Idara ya Tekenolojia ya Habari na Mawasiliano.Alex Mwijika, Kaimu Mkuu wa Idara Mathematics (ICT), Nzomwe Mazana.

 

11 years ago

GPL

MAHAFALI YA SHULE YA AWALI YA OJAYS KIDDIES ZONE YAFANA‏

Watoto wa shule ya Ojays Kiddies Zone iliyopo maeneo ya Kinondoni Block 41, wakiwa kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kwa mahafali ya Kaka na Dada zao wa Laura Class kuanzia miaka 4-5 (T-shrits za kijani) yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Regency Park jijini Dar mwishoni mwa juma. Mkurugenzi wa Shule ya awali ya Ojays Kiddies Zone iliyopo Kinondoni -Block 41, Bi.… ...

 

10 years ago

Michuzi

mahafali ya wanafunzi wa masomo ya awali wa shule Joyland yafana sana

Wahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es SalaamWanafunzi shule Darasa la nne Shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni jijini Dar es SalaamWahitimu wa masomo ya awali shule ya Kimataifa ya Joyland, wakiimba wimbo wa Shule wakati wa mahafali ya pili ya shule hiyo iliyopo Tuangoma Kigamboni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani