Wanavyuo 4,124 wachukua mafunzo maalum ya Stashahada ya Elimu ya Awali
Na. Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA IDADI ya wanachuo 4,124 wanachukua mafunzo maalum ya Stashaada ya Elimu ya Awali ya miaka 3 katika vyuo 19 vya Ualimu kuanzia mwaka 2014/2015, Serikali imeanzisha mafunzo haya ili kuweza kupata walimu mahiri na wa kutosha wa ngazi hiyo ya Elimu. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Anne Kilango (pichani) wakati akujibu swali la msingi la Mhe. Rosweeter Kasikila, Mbunge wa Viti Maalumu aliyetaka kujua mpango wa Serikali...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Jul
9 years ago
Michuziwatoto wa shule ya awali ya Genesisi wapata mafunzo ya awali ya kuzima moto
11 years ago
Michuzi21 Apr
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Wanafunzi wa stashahada ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati UDOM kunufaika na mikopo ya elimu ya juu
Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Elimu ya awali msingi wa elimu Tanzania
WARIOBA IGOMBE
NYUMBA imara inahitaji msingi uliokamilika katika ujenzi, ikiwa yatatumika mawe, zege au udongo basi fundi asifikirie kulipua ili amalize.
Ikiwa utaratibu hautafuatwa katika kujenga msingi imara nyumba itaanguka wakati wowote, inawezekana ikaanguka wakati ujenzi ukiendelea au miaka michache baada ya kukamilika.
Katika mtiririko huo huo mwanafunzi anaandaliwa kwa kujengewa msingi mzuri, anapoanza elimu ya awali na baadaye shule ya msingi kabla ya kwenda sekondari...
10 years ago
MichuziBG Tanzania yawadhamini wanafunzi kumi kupata elimu ya juu ngazi ya stashahada ya uzamili ( Masters of science degree) ya sayansi nchini Uingereza
Katika hafla hii, wanafunzi watapata fursa ya kukutana na Meneja Mkuu wa BG Tanzania ( Derek Hudson) pamoja na wafanyakazi na wadau Mbalimbali.
Udhamini huu wa elimu ya juu ni kati ya mpango mkakati wa maendelo ya jamii...
10 years ago
VijimamboWAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA (GST) WAFANYA MAFUNZO YA AWALI
10 years ago
MichuziWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akutana na Viongozi wa Elimu nchini Singapore
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, unalenga kuendeleza wanafunzi katika kuwapatia stadi muhimu zinazohitajika kwa maendeleo ya nchi.
Mfumo wa elimu wa nchi hiyo, umeweka mkazo zaidi katika kutoa mafunzo ya ufundi stadi ambayo yanatoa ujuzi kwa mhitimu kuweza kufanya kazi katika ...
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AWATUNUKU VYETI WADAU WA ELIMU