Magalasa 12 yaliyosajiliwa kuondoka Chelsea
Tangu atue Chelsea kwa zaidi ya miaka kumi, Roman Abramivich amemwaga kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya usajili wa wachezaji 72Â akitumia Pauni 713 milioni, nyota hao, baadhi yao wameisaidia klabu hiyo na kuipa mafanikio England na Ulaya na wengine walikuwa hasara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 May
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Fillipe Luis kuondoka Chelsea
9 years ago
BBCSwahili22 Sep
Daktari wa chelsea Eva kuondoka klabuni
10 years ago
BBCSwahili15 May
Petr Cech ruksa kuondoka Chelsea
9 years ago
MillardAyo26 Dec
Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …
Kocha wa mpya wa muda wa klabu ya Chelsea Guus Hiddink ambaye amejiunga kwa mara ya pili kuifundisha klabu hiyo, baada ya miaka sita toka aondoke mwishoni mwa mwaka 2009 kama kocha wa muda wa klabu hiyo, Guus Hiddink ambaye ndio ameichukua Chelsea mikononi mwa Jose Mourinho ili aiokoe isiporomoke zaidi, ameanza kwa kuwatuliza mashabiki […]
The post Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo15 Dec
TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi …
Headlines za soka bado zinachukua nafasi kila kukicha na mimi mtu wangu siachi kukujuza kila linalonifikia, hususani katika kuelekea kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili la mwezi January. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 5 stori za soka zilizoandikwa sana barani Ulaya. 5- Chelsea kutangaza dau la kumsajili Stones mwezi Janury Baada ya […]
The post TOP 5 Stori: Madrid wapo tayari Rodriguez ajiunge na Chelsea ila? Baada ya Mahrez kumsumbua Terry Chelsea waamua hivi … appeared...
11 years ago
BBCSwahili13 May
Ferdinand kuondoka Old Trafford
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Wavamizi watakiwa kuondoka Kiteto