Magufuli ahidi kufufua viwanda mkoani Tanga, kuongeza ajira kwa vijana
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,uliofanyika katika viwanja vya Tangamano jioni ya jana mjini Tanga.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya angamano,jioni ya jana ambapo aliahidi kuboresha...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s72-c/_MG_3626.jpg)
MAGUFULI AHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA,KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s640/_MG_3626.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hol4SjHYnhw/Ve8kjC5FEyI/AAAAAAAH3Zw/pvUEyzZLeAk/s640/_MG_3583.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s72-c/_MG_3626.jpg)
MAGUFULI AHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s640/_MG_3626.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hol4SjHYnhw/Ve8kjC5FEyI/AAAAAAAH3Zw/pvUEyzZLeAk/s640/_MG_3583.jpg)
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Nundu ataka Tanga kufufua viwanda
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Shirika la nyumba NHC laendelea kuongeza ajira kwa vijana
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi Rachel Kasanda akikabidhi mashine za kufyatulia matofali kwa Hassan Soud Katibu wa kikundi cha Changamoto kwa niaba ya vikundi vingine vya wilaya ya Ilala ambazo zimetolewa na shirika la Nyumba nchini NHC jana wakati wa mpokezi ya Mwenge wa Uhuru Ilala Boma mara baada ya Meneja wa Shirika hilo wilaya ya Ilala Bw. Jackson Maagi kumkabidhi kiongozi huyo wa mbio za mwenge ikiwa ni juhudi za shirika hilo kusaidia kupunguza uhaba wa ajira kwa vijana ili...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/145.jpg?width=600)
SHIRIKA LA NYUMBA NHC LAENDELEA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA
5 years ago
MichuziMITANDAO YA KIJAMII YAZIDI KUONGEZA WIGO WA AJIRA KWA VIJANA,'APP' YA BIDHAA YA KEKI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Melisa Lilian Ringo wakati akizindua App kwa ajili ya Keki iliyofanyika leo, jijini Dar es Salaam.
Ringo amesema kuwa watu wanaohitaji Keki watakwenda kwenye mtandao na kufungua 'Melisa Cake' na kuchagua aina mbalimbali za Keki.Amesema mteja akiingia katika App hiyo atachagua Keki aitakayo baada ya hapo ...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-kjlrbEwEPbk/XsvIQHpAmLI/AAAAAAACLrA/GIIWs0FfRR4d5KOvSPiwwuH2Wfja3l0uACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200525_162118.jpg)
KIGOMA WAAHIDI KUMPA RAIS DK. MAGUFULI ASANTE YA KURA ZA KISHINDO 2020 KWA DHAMIRA YAKE YA KUFUFUA ZAO LA MICHIKICHI MKOANI HUMO
![](https://1.bp.blogspot.com/-kjlrbEwEPbk/XsvIQHpAmLI/AAAAAAACLrA/GIIWs0FfRR4d5KOvSPiwwuH2Wfja3l0uACLcBGAsYHQ/s200/IMG_20200525_162118.jpg)
Tumekuwa kwa zao hilo na hata wazazi wetu wamesoma shule kwa zao hilo ambalo kwa miaka ya nyuma ndio lilikuwa zao kubwa sana na ndio maana kwenye kila kaya ndani ya mkoa wa Kigoma huwezi ukakosa kukuta mashine ya kukamua mawese kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-E-ucezwptSE/XlAGQBhtaNI/AAAAAAALeww/smoqLg_dWoIzP90Ea1PfNUcjjVRClmfSgCLcBGAsYHQ/s72-c/2b4ae55f-0c24-49e1-a1d4-ac834aad0fac.jpg)
VETA, Plan International kufungua milango ya ajira kwa vijana 400 mkoani Mwanza
Akizungumza wakati wa tukio la utiaji saini makubaliano hayo leo tarehe 21 Februari, 2020 katika ofisi za VETA Makao Makuu Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkazi wa Plan International Tanzania Dkt. Mona Girgis amesema kuwa makubaliano hayo yanalenga hasa...