Nundu ataka Tanga kufufua viwanda
Mbunge wa Tanga mjini, Omar Nundu amesema iko haja kwa serikali mkoani Tanga kuangalia uwezekano wa kufufua viwanda ili kuongeza ajira.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s72-c/_MG_3626.jpg)
MAGUFULI AHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA,KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s640/_MG_3626.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hol4SjHYnhw/Ve8kjC5FEyI/AAAAAAAH3Zw/pvUEyzZLeAk/s640/_MG_3583.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Magufuli ahidi kufufua viwanda mkoani Tanga, kuongeza ajira kwa vijana
![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s640/_MG_3626.jpg)
![_MG_3583](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/MG_3583.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s72-c/_MG_3626.jpg)
MAGUFULI AHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
![](http://1.bp.blogspot.com/-BrP7zuTAxk8/Ve8lBHMTXhI/AAAAAAAH3aI/gH8uF5PYMbs/s640/_MG_3626.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hol4SjHYnhw/Ve8kjC5FEyI/AAAAAAAH3Zw/pvUEyzZLeAk/s640/_MG_3583.jpg)
9 years ago
Mwananchi10 Oct
ACT Wazalendo kufufua viwanda Zanzibar
Chama cha ACT- Wazalendo kimesema kikipata ridhaa ya kuongoza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kitafufua viwanda vilivyokufa na kutoka ajira kwa vijana.
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Mghwira ataka Magufuli amtaje aliyeua viwanda
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT – Wazalendo, Anna Mghwira amemtaka mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kuwaeleza Watanzania nani aliua viwanda kabla ya kuahidi Tanzania nyingine ya viwanda.
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Sumaye ataka viwanda vya ndani vilindwe
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema kuwa ni vigumu kuuondoa umaskini nchini kama serikali haitaongeza uuzaji wa bidhaa zake nje ya nchi. Alisema serikali pia lazima ivilinde viwanda vyake vichanga...
10 years ago
MichuziSerikali yatenga hekta 1,363 kwaaajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maeneo ya EPZ pamoja na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) imeweka matayarisho na utaratibu wa kuvutia wawekezaji eneo la Tanga.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Omari Nundu, Mbunge wa Tanga Mjini.
“tayari Mamlaka ya EPZ imetenga hekta 1,363 katika eneo la Neema mkoani Tanga kwaajili ya ujenzi wa viwanda na uthamini wa mali umekamilika” alisema Mhe....
5 years ago
MichuziWANAWAKE MKOANI TANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA UCHUMI WA VIWANDA
Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga Specioza Owure akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa ilifanyika kwenye viwanja vya Mkwakwani mjini Tanga
Sehemu ya watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga wakiwa kwenye maandamano kuelekea viwanja vya Mkwakwani mjini Tanga
Sehemu ya watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga wakiwa kwenye maandamano kuelekea viwanja vya Mkwakwani mjini...
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Serikali yatenga hekta 1,363 kwa aajili ya ujenzi wa viwanda Tanga
![370](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/370.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania